Aliyemdhalilisha Mama Lowassa akimbia nchi

Aliyemdhalilisha Mama Lowassa akimbia nchi

Status
Not open for further replies.
Kwani hamjuwi kuwa POMBE ni Haramu ! ! Mama alizidiwa Ehee ? Kijana naye akapitiwa ehee ! ? Subirini akabidhiwe Nchi mtajuutaaa ........kuzaliwa
 
Jinga sana yule kijana. Chadema wafunzeni adabu vijana wenu. Yule keshapata laana yake!
 
Mpaka anashikwa makalio inamaana alikuwa katika mazingira ya kushikwa huyo mama.na bila shaka vijana walikuwa wameshapiga viroba kama kawaida ya baraza la vijana wa chaggadema.
 
Mambo ya Bavicha hayo. Hawa ndo tuwape nchi!!!!! Haiwezekani
 
kuna ubishi mtaani

wengine wanasema eti alimshika kalio tu basi wengine wakasema eti ali(mnyosso)
 
Hilo tu?!





kwa sababu huyu kijana ameonyesha katabia ka kudharau mpaka mama zake ukawa tunaomba wanawake wote wamuunge mkono mama Regina siku ya jumapili tarehe 25 kwa kuweka tiki kwa lowassa
 
Last edited by a moderator:
kwenye mikutano; wakati msaga sumu anatumbuiza ;

dada zetu wangapi wanashikwa ;

haki kwa wote

Kwa hiyo mama Robert ni mdada. Wewe ni ngenya kuliko ngenya zote bara na visiwani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom