Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,663
- 107,089
Ours goes quietly, no need of lunatic media frenzy
Source: MichuziBlog
Source: MichuziBlog
hiyo ni standard gauge! sasa kama ukarabati, je tulikuwa na SGR kabla reli ya kati? Angalia pembeni na utaona reli ya katiManyoni hiyo!! hapo ni ukarabati tu...
hahah picha imepigwa ilipoisha :lock1:Kwani reli inajengwa kwa mikono,maanake sioni vifaa ata kwa mbali,kama kawaida mambo ya tz yanakaa feki na ya kuiga.
Source some blog post.
Watanzania muanze kazi, haswa sasa mna rais mpya mchapa kazi, hizi porojo za alfu ulela na kusubiri nazi idondoke kutoka kwa mnazi zitawaponza. Mkiendelea hivi kwalilia Wakenya na kujipima nasi kwa kila kitu mtapoteza miaka ingine kumi afu tena mpigwe ngoma nyingine na CCM hadi miaka 200 nafikiri mwanaye Kikwete aliwaambia kwenye video fulani na bado hamjamwelewa.
CC: JokaKuu
Kwahiyo tanzania wote ni wavivu WA kazi? kenya hakuna wavivu ?kama sio wale wazungu waliobaki baada ya uhuru kuendeleza kampuni na viwanda vyao kenya mungekuwa wapi leo?mukavunja Eac kijanja mukabaki na mali za Eac.Source some blog post.
Watanzania muanze kazi, haswa sasa mna rais mpya mchapa kazi, hizi porojo za alfu ulela na kusubiri nazi idondoke kutoka kwa mnazi zitawaponza. Mkiendelea hivi kwalilia Wakenya na kujipima nasi kwa kila kitu mtapoteza miaka ingine kumi afu tena mpigwe ngoma nyingine na CCM hadi miaka 200 nafikiri mwanaye Kikwete aliwaambia kwenye video fulani na bado hamjamwelewa.
CC: JokaKuu
Huu ukweli mchunguSource some blog post.