Mtego mkubwa CHADEMA, wameatamia bomu, kulipuka 2020

Mtego mkubwa CHADEMA, wameatamia bomu, kulipuka 2020

Kichapo gani?kichapo cha kuhesabu kura kwa mara ya pili?

Vincent alitamani hata wahesabu kura mara 10.
Hakuamini jamaa wa msoma mjini wamenyoosha.
Wamemchoka yeyw kuliko walivyoichoka ccm
 
Huo ni ukweli na wanatakiwa wajitaidi kufanya maendeleo ili wafeze kupata Refference, Lakini msemo wa mwalimu julia nanukuu ''Maendeleo yasipoonekana ndani ya chama Tawala yataonekana nje ya chama Tawala''
 
mwenye jukumu la mwisho katika maamuzi na utekelezaji wa mipango mbalimbali ya halmashauri ni mkurugenzi au mwenyekiti ?
 
Back
Top Bottom