Recent content by Lubaluka

  1. L

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Great work ..... @ Habibu B. Anga
  2. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

    R.I.P Mzee wetu Ndesamburo.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    #FreeMaxenceMelo........ Pamoja Sana
  4. L

    JamiiForums Tanzania Pozi la mpiga picha, mmeliona?

    Ndii yeye .... Novatus Makunga. Hapo ni kabla hajateuliwa na JK enzi hizo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai ....
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nataka nifuge Kuroiler niwauze Chrismass

    Ni aina ya Kuku hio.......
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chidi Benzi huyo

    Chid Benz alishatangaza kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya toka mwaka jana mwezi wa nane.....! Hio picha sijui ni ya lini......?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wa St. Joseph Arusha wafunga barabara

    Polisi wamefika muda mfupi uliopita na kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya wanachuo hao. Hali ya utulivu imeanza kurejea.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

    B.O.T wamerukaruka lakini wapi.... imebidi wakubali yaishe....! kila kitu siasa hapa bongo!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda: Mtunza nidhamu za wanafunzi wa Arusha

    Duuu! kweli umenikumbusha mbali....... Alishatufumania mto Naura tunavua samaki/vichwa runguu muda wa darasani tulijutaa.... maana tulikimbia kupitia police huko huko mtoni na kutokea Kaloleni. Bali tulimwachia vumbi....... Haaaaa Haaaa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya mbele ya watoto

    Duuu huko watoto wadogo wa kike wanaandaliwa mapema...... maujuzi...... ***** Mila na Desturi hizi huku kwetu ni laana!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwezi mmoja (Denis) Auwawa kwenye ugomvi wa wazazi wake

    Hawa wanawake wakati mwingine hawafikirii..... Maana kwenye ugomvi kama huo wanajaribu/wanatumia watoto wadogo kama kinga.. na madhara yake ni hayo. Huyo mwanamke kalianzisha na hapo kabeba kichanga cha mwezi jamaa kakasirika ile kumpiga konde mkewe bahati mbaya likaangukia kwa mtoto Denis...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ukipatia majina matano utakuwa ulikuwepo wakati huo

    Waandishi wa habari wakiwa na Mwalimu Nyerere....
  13. L

    JamiiForums Tanzania Live TBC, Uzinduzi wa mbio za mwenge kitaifa mkoani Kagera, 2014

    Mwenge - Kwa sasa hakuna tena maana ya kukimbiza mwenge nchi nzima ni bora uwekwe kwenye makumbusho. Kwa sasa ni chombo cha kufuja pesa za walala hoi tuuu.....
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Hii Taarifa ya kweli. Ethiopian Airline imetua kwa dharura Arusha Airport.
Back
Top Bottom