Recent content by lubajaro

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    VP ukiamua kujiuzulu lazima vyombo vikuweke kwenye uangalizi wa kipindi kisichopungua miezi 6 ili kujiridhisha Kwamba Hauna madhara. Maana VP ni cheo kikubwa Sana...kwahiyo usitegemee kwa miezi 6 ya mwanzo kama utaweza kumuona kwa public or any media house....yupo kwenye uangalizi kuona kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nadhani huu ukumbatiaji wa wicknell kwa rais wa nchi haujakaa kiprotical , amemkumbatia vibaya na sidhani dini kama inaruhusu.

    .hivi unajikuta nani kukosoa mambo ya Serikali??? Ina maana Vyombo vilipitiwa??? Kaa kimya...CCM OYEEEEEEEE
  3. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2019 Toyota Hilux ya Muhindi iko Sokoni

    Hongera
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Kwenye Ujasusi Kuna kitu kinaitwa Mission Complete. Ikifikia hatua hiyo when Mission is Complete basi jua au tambua huyo Muhusika aliyefanya hiyo Mission lazima wamuue ili kuficha ushahidi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Kama ni CIA, basi hao hao CIA watapita nae baada ya kumalizana nae baada ya kazi waliyomtuma kumaliza lazima watapita nae
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

    Anatii Maelekezo pia lazima waisifu Serikali kwa kufanya mazuri ili nchi iwe shwari
  7. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2019 Toyota Hilux ya Muhindi iko Sokoni

    Changamoto ya kununua gari kwa Muhindi au Muarabu au Singa Singa ni Kwamba hilo gari unalonunua ipo siku litageuka kuwa Jeneza la kukuua kupitia ajari mbaya kama ya yule Sheikh kule Kondoa Dodoma. Magari mengine unanunua kumbe ni makafara ya damu yanahitajika...unatolewa kafara na hela pia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania CCM ASILIA TOKENI MAFICHONI

    CCM hatuna Asilia Wala hatuna Mtandao. Hao wanaopiga kelele ni Timu JPM baada ya kuporwa Tongwe wanalialia tu Mimi napenda CCM CCM OYEEEEEEEE
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tumefikaje hapa tulipo?

    Wakati wa kampeni tulikuwa tunasema CCM OYEEEEEEEE...MAMA anaupiga mwingi sana hadi unamwagika hadi Magari yetu tukaweka T 2030 SSH. Hii tuliipenda wenyewe na bado Mama atetewe...leo mtasemaje tumefikaje???? CCM BABA LAO tukutane 2030
  10. L

    JamiiForums Tanzania Je Japan inajua alipo Rachel Dangwa?

    Yakuza wameshafanya yao mkuu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Je, Kamati Ndogo ya Maadili Ina uwezo wa kumvua uanachama VP???

    Naona utabiri wako umetimia Mkuu. Time Traveller siyo
  12. L

    JamiiForums Tanzania Je Japan inajua alipo Rachel Dangwa?

    Kama siyo Kenyan Boys wale aliowataja Nuru Vazi, basi itakuwa KGB au Yakuza watakuwa wameifanyia yao. Sasa hivi Kuna Intelligence Sharing na pia Kuna Magenge ya kufanya kazi hizo chafu kwa mfano Japan Kuna hilo Genge kinaitwa Yakuza. Hawa ukiwapa hata $ 100,000 wanafanya yao bado wazee wa KGB...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson asipowahiwa kuna dalili akawehuka

    Cheo ukimkosa ni mateso
Back
Top Bottom