Achana na maneno ya wapiga dili wanataka TANESCO iwe tegemezi wa makampuni ya IPTL, Agreco, Symbion nk ili wakubwa waendelee kula pesa za wavuja jasho, hapo Bwawa na Mwalimu Nyerere kuna wataalam wabobezi wamesimamia, mbona hawasemi flyover za Ubungo na Tazara au Madaraja ya Tanzanite nk...
Mileage bibiye unakuta imesoma Sana, hafu wanaume huwa hatupendi kudharauliwa maana Kama unademu ameshapigwa na wanaume wengi hata uhuru na kutembea nae maeneo mbalimbali unashindwa, hafu hata ndugu Zaiko watakuzarau
Hiyo simu unatumia kaibuni mzungu, Rais wako vifaa vyote vya kumlinda kavitengeneza mzungu hata nguo na viatu katengeneza mzungu, hafu amauhofia hahhaaaa, shule kasoma ya mzingu usije ukakuta hata boxer kavaa ya mzungu
Stockholm ile walioimba Twanga Pepeta kule Sweden? Imekuwa Finland tena da we binti ni kiboko kwa kutengeneza uongo hafu hati ya kusafiria utafutiwe na foreigner aisee we ni hatari ndo maana huolewi
Maombi yakukutanishe na mpenzi hebu acha kudanganya, wachumba wanatafutwa, kwa wasichana mara nyingi huolewa na watu wanaowafahamu mtaani, makazini au sehemu za kazi au marafiki wa watu wanaowafahamu hakuna maombi hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.