Hata juhudi za mtu zinapingwa tanzania kufika katika mafanikio tutachukua muda mrefu sana kwani mafanikio yanahitaji maendeleo ya watu katika fikra zao kuwa huru,kwa jamii hii inayo hoji na kudharau mafanikio ya Nape ni dalili tosha tumeshindwa kuzalisha watanzania wenye kuthamini juhudi na...
Swali la chipaka la kujua msimamo wa chadema ktk mchakato wa katiba ni mada tosha ambayo ya kujadiliwa ni kweli hawakutoa walitoka nje,yahaya ifanyie kazi hiyo
Namshauri Hamad rashid kutaka nafasi ya uongozi ndani ya chama jaribu kuepuka marumbano na viongozi wengine ambao wanaonekana kama wanatumwa na viongozi wa juu mimi naona haya ya kwako ni kama ya LOWASA,chama kweli kina hitaji utendaji wa bara na visiwani
Sijui zito angekuwepo kwenye JF angetusaidia utata huu ambao wakati mwingine unaonekana kuwatafuna wanasiasa wengi wanaonyesha nia ya kugombea nafasi yoyote ya ndani ya chama na wakati mwingine hata ya mwenyekiti wa mtaa,kitongoji,kijiji,udiwani,ubunge, na hasa urais haya yapo.lakini kibaya...
Kila goti litapigwa.uki jua ya mwenzako ujue ya kwako yatajulikana tu.mimi nadhani ndugu zangu wa JF tungekuwa tunavumiliana kwa hoja zinazotolewa humu,mi naiman kama JF ikitumika vizuri itakuwa sehemu nzuri ya kujenga bongo zetu kwa kupata habari zenye mchujo wa hali ya juu,lakini pia kujua...
Eee jamani wana jf sifa yenu ni kuwa mna fikra nzuri za kuchambua hoja na kuchangia.Lowasa kama katuma watu humu wa kumpamba basi tukubaliane kitu kimoja hata hao wanaomkashifu LOWASA nao wametumwa hapo tutaelewana.lakini kujinasibu nyinyi ni wajuzi wa kuona mabaya ya wenzunu huo si umahiri wa...
Ni vigumu kukuelewa una maana gani,Hamd Rashid unamshangaa kwa kauli yake,Hapo hapo unashukuru,Lakini kibaya zaidi unatumia kauli ya ubaguzi ya WAPEMBA GANI WAMETETEA KURUDI KWA TANGANYIKA kwa kauli yako unaonyesha unadata za kupachikwa kama flash katika cpu,MOJA YA SERA YA CUF NI SERIKALI TATU...
JULIUS uongozi ni dhima na dhamana kubwa kwa wanachama wa chama chenu waliokupa wewe na ukakubali,kumbuka siku uliyo kubali ulikubali mambo mengi ya uongo na ya kweli yawe yako,sasa changamoto uliyo nayo ni kuonyesha kwa vitendo ya kuwa hili ni pumba na hili ni mchele,utakapo toa kauli yoyote ya...
Kumuhukumu Lipumba kuwa si mwanasiasa mwenye lengo la kuleta mabadiliko katika nchi yetu mtazamo huu si sahihi.Lipumba ni mwanasiasa mwenye heshima na karisma ya uongozi ulitukuka.ni ushahidi mwingi juu yake.lakini ngoja nikufungue bongo lako juu ya lipumba umuelewe.ndiye aliyekichukua chama na...
Jaman kujenga chama imara ni kazi kuliko kujenga mji wa dar yenye magorofa 100 katika kila eneo. Chama ni fikra za watu zinazo kubaliana au kutokukubaliana kwa jambo lilipo mbele yao.na kanuni ya kukubaliana huwa ni hii.ukiona watu wawili wanakubaliana ktk kila jambo basi ujue mmoja wapo ni...
Hata nyie mnaolipwa kwa ajili ya kumchafua mnamatatizo makubwa.mtuhumiwa gani aliyekwenda mahakamani akajishitaki ebu nenda kafungue kesi dhidi yake si una ushahidi kuwa yeye ni fisadi takuja kujibu tuhuma.Tatizo kubwa la watanzania liko hapa kuamini kila kitu wanasikia kutoka kwa yoyote na...
KISIASA !? Hajavaa sanda labda urudi ktk hoja ya msingi tuwe wote pamoja.wewe kujua tu amevaa sanda kisiasi ni ushahidi tosha yuko juu kwa mtazamo wako labda uniambie hujui tunamuongelea lowasa gani?ah kama umuelewe ni lowasa gani tunakuomba uvumilie kidogo hadi umjue.kama utafanikiwa kumuelewa...
Bado unayo nafasi ya kutoa maoni yako yatakayo kuwa na taswira ya hali halisi ya vile unavyo jua juu ya udhaifu na uwezo wa LOWASA kwa kuzingatia vigezo vilivyopo ktk hoja ya msingi unaweza kuendelea ,jiepushe na kulalamikia mtazamo wa mwingine mpe tiba atakuelewa usimpe nafasi akakutafsi ni...
Hata zamani nilikuwa na mtazamo huo.lakini utakunisaidia kwa Rais wetu mstaafu ALLI HASSAN MWINYI alijiuzuru wakati ni waziri wa mambo ya ndani wa jamuhuri ya muungano ya tanzania alikuwa amefanya madudu gani?na madudu yake yalikuwaje yakamfanya awe rais wetu?ebu jaribu kutaja uwezo wake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.