Recent content by lowasa 4 changes

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimetongoza jini

    Hilo sio jini braz hyo ni bahati sawa na kuokota embe chini ya mparachichi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Exactly jamaa mwenyewe nimeenda kazini lakini ofsin hapakaliki yani inabidi nikaee huku bar nipate hata mvinyooo
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kama ndoa ingekua ni kifurushi ungechagua cha muda gani?

    Siku 1
  4. L

    JamiiForums Tanzania ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

    Nenda ukaombewe utakuwa sio mzimaa wewe
  5. L

    JamiiForums Tanzania John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

    We hujui kitu kapike
  6. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Siha Hai Simanjiro Same Arumeru mashariki Karatu Moshi vijini Tanga mjini Dar yote Musoma Ngorongoro .....kazi bado ni ndefu zaidi ya unavyozani ukichukua jimbo moja la arumeru mashariki unapata majimbo 12 ya magufuli.....
  7. L

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Mlaani shetani we mwanadamuu....usimhukumu mtu huna malaka hayo
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mishahara imeingia kuanzia jana, kuna uhusiano na uchaguzi?

    Nauza galaxy note 4......jwa shilingi laki 9 ...nipo klm
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung galaxy Note 2

    Unauza sh ngap
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ya mke wangu

    Simama kama mwanaumeee
Back
Top Bottom