ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

Usiwe unaangalia ITV angalia startv na TBC Kama hupendi kuangalia TV ya TAIFA ITV,au usiwe unaangalia ITV kwani hakuna MTU ambaye anakulazimisha kuweka Chanel!!!
 
Hii television ifungiwe, television imejaa ukanda na ukabila, television inapika propaganda kuwatetea mafisadi, hii television ifungiwe tu ile iwe fundisho kwa wengine!
 
ITV hawatangazi matokea, wanasoma kilichokwenye karatasi za tume. Wanaotangaza matokeo ni Tume au huelewiii?
 
Usiangalie hizo tv ambazo zimekua vyama vya siasa.hutasikia neno lolote jema kwa nchi humo.Hata Lubuva akisoma MATOKEO tune tbc au star
 
Great thinker hapa!

Binafsi nimepata screen shot nyingi kwa whatsupp ambazo hazitally sijui watu wanazipata wapi au wanatengeza kwa computer ILA...

Kwa utafiti mdogo na baada ya kufuatilia nika gundua kuna wanatoa taarifa za matokeo kule wilayani/mikoani wakati bado hazija hakikiwa na tume kama sheria inavyo elekeza.

Naamini wote tuna fahamu kuwa matokeo yanayo takiwa YATAMBULIKE kisheria ni yale tu yaliyo tangazwa na Tume ya Uhaguzi. Hayo mengine ni FAKE kisheria na wanao ya post kwenye social media wasitumie uhuru wao vibaya wa kupotosha ukweli...

Kwa akili ya kawaida tu, tume ya uchaguzi inajumuisha watu wanaojua Hesabu na Statistics vizuri, hawawezi kupitisha data FEKI kama hizo ambazo hata mwanafunzi wa darasa la tano anaona kuna makosa!!!
Tatizo ni kuwa watu wetu wengi ni copy paste...hawatumii akili zao kufikiri..kila wakiona wanafikiri ni kweli!
 
Sina uhakika, hasa picha ya kwanza kutoonyesha ni jimbo gani, lakini kama ndivyo, Very soon watu Nchi hii wataanza kuheshimiana!
 
Nadhani ITV hapa hawahusika ila "bao la mkono ndio linahusika.

Huu unaweza kuwa ushahidi mwingine wa rafu zinazochezwa.

TBC vip? Ruzuku wachina walitupatia gari la kisasa la matangazo ila hatulioni au mafuta ndio tatizo?
 
Acheni Kuchafua vituo vya watu hiyo picha imetoka kwenye screen ya tume ITV walicho fanya ni kuivuta tuu...huu sasa ni ujinga na utoto...uliopitiliza..!Kwanza hueleweki..

mbona screen ya itv ni tofauti na ya azam,au tuseme tume wana screen ngapi hasa?
 
Hii television ifungiwe, television imejaa ukanda na ukabila, television inapika propaganda kuwatetea mafisadi, hii television ifungiwe tu ile iwe fundisho kwa wengine!

magufuli amesema ataaongea baada ya kuapishwa,,,,,,mkurugenzi TCRA anaonyesha hafuatilii hii kitu
 
ficha upumbavu wako. matokeo ya uraisi yanatangazwa na tume tu na si vinginevyo

Tume wanayapata wapi hayo matokeo? What he said ni kwamba ITV wametangaza from source ambayo hata hiyo tume wanaitegemea (wakurugenzi wa uchaguzi) so swala la kwamba mchele kufika nyumbani nusu kilo wakati dukani ulipimiwa kilo moja nadhani mbebaji wa huo mchele ndo anatakiwa awe na majibu sahihi kwamba ulimwagika au imekuaje!
 
Wachaga hao wanampiga vita magufuli kabla ata hajaanza kuongoza. Mengi kaamua kuweka uzalendo wa moshi mbele.
 
Sidhani kama mleta hoja anajua alichokuwa anaandika dhidi ya ukweli wa habari. unapotaka kuja na habari tafadhali soma kwanza jiridhishe kasha njoo humu,usikurupuke kama UHARO
 
Great thinker hapa!

Binafsi nimepata screen shot nyingi kwa whatsupp ambazo hazitally sijui watu wanazipata wapi au wanatengeza kwa computer ILA...

Kwa utafiti mdogo na baada ya kufuatilia nika gundua kuna wanatoa taarifa za matokeo kule wilayani/mikoani wakati bado hazija hakikiwa na tume kama sheria inavyo elekeza.

Naamini wote tuna fahamu kuwa matokeo yanayo takiwa YATAMBULIKE kisheria ni yale tu yaliyo tangazwa na Tume ya Uhaguzi. Hayo mengine ni FAKE kisheria na wanao ya post kwenye social media wasitumie uhuru wao vibaya wa kupotosha ukweli...

Kwa akili ya kawaida tu, tume ya uchaguzi inajumuisha watu wanaojua Hesabu na Statistics vizuri, hawawezi kupitisha data FEKI kama hizo ambazo hata mwanafunzi wa darasa la tano anaona kuna makosa!!!
Tatizo ni kuwa watu wetu wengi ni copy paste...hawatumii akili zao kufikiri..kila wakiona wanafikiri ni kweli!

Tume haihakiki matokeo. Wao tume wameshasema kuwa "wanayatangaza kama yalivyotumwa".
 
Unajua Tume ina-understimate nguvu ya social media, dunia ipo connected sana sasa hivi ukilinganisha na miaka mitano nyuma. Sasa hivi almost kila mtu yupo hewani, ilibidi waangalie njia nyingine za kutangaza matokeo.

Sioni sababu ya kuzuia matokeo ya urais kutangazwa moja kwa moja kutoka vituoni, vituo vyote vina representatives toka vyama vyote kwa hiyo wote waki-sign hata matokeo yakitangazwa hakuna shida. Kusema kura zipelekwe dar waanze ukaguzi ndo kitu kinaleta complications. Wao wangekua wanachukua namba direct kutoka vituoni wana-update direct kwenda kwenye database alafu wana-release kwenye press data in real time.

Ndio system nchi zote zilizoendelea wanatumia, sijui watu weusi tuna matatizo gani huku africa.

Nywele ngumu, akili ngumu
 
Mkuu ITV, ilakwisha jipambanua toka mwanzo juu ya nini ina simamia, kwakuwa unamgusa bw machache naamini huu uzi mods wataufuta soon, ila tulisha ng'amua ITV wanacho fanya
 
Wanajamvi Tuchangie hoja zenye mantiki na kuelimishana kwa faida endelevu ya jamvi letu. hebu tujumuishe hizo asilimia..... ni zaidi ya 100. Je huko ITV wanashindwa kufanya hesabu ya darasa la pili? Tutetee hoja zenye mashiko na si ujinga.

Kinacho angaliwa kwenye majimbo na kata ni asilimia alizopata mgombea kutokana na kura sasa unapojumlisha asilimia za kila mmoja ili upate mia ni kichekesho
 
Ni kweli kabisa jana wamezua kizaa zaa huku mtaani kwa takwimu zao za uongo na upotoshaji mkubwa...nmewapigia sim hawajapokea nikaamua kuwatumia sms waache huu upotoshaji wa makusudi lakin hadi hiv sasa cjapata majibu yao..hili jambo halikubaliki hata kidogoo kwa chombo cha habari kama itv kuupotosha umma kwa maslai yao binafsi

We ni mpumbavuu sana kwa akili zako sijui kama unaweza kuiongoza family!! Hivi ni wap wamewapotosha?? Kama serikali ilikuwa huruu kwa nini waliwakataza media kutangaza matokeo ya majimboo yote ya Tz ya uraisi?? Zaidi kusikia ya tume?
 
Back
Top Bottom