Recent content by loving

  1. loving

    Mwanamke mjamzito kupata kichefuchefu na kutapika: Chanzo na tiba yake

    Jf Doctors Naomba kujua dawa ya kusimamisha kutapika kipindi cha ujauzito kwani hali ya wife si shwari, mpaka amekonda
  2. loving

    Nimeitwa kwenye usahili, Naomba ushauri

    HapA hatujadili lugha au interview ya lugha Plz concentrate na mada iliwasilishwa nA pia wewe bdo hujui kiswahili hayo maneno yapo sahihi
  3. loving

    Nimeitwa kwenye usahili, Naomba ushauri

    mkuu experience ya maswali kwenye position ya Gender
  4. loving

    Nimeitwa kwenye usahili, Naomba ushauri

    Habari ndugu wanajamv! Naomba msaada toka kwenu. Nimeitwa kwenye usahili na shirika fulani kanda ya kaskazini. Position ni Gender Officer! Kwa waliowahi fanya usahili ya position ya Gender naomba tupeane uzoefu wa maswali yanayoulizwa ili kujiandaa. Mimi ni fresh from school sijawahi hudhuria...
  5. loving

    Sporah Njau wa kipindi cha ''The Sporah Show''

    Kwenye kipindi saa nyingine anaongea mnoooo . mtu hajamaliza kujibu yeye kashadakia Huwa kipindi chake nilishaacha kuangalia zananiiii
  6. loving

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Wadau Naombwa kujuzwa Kwenye viti maalum sioni jina la Irene Uwoya Inakuwaje? Au ndo kashatolewa nje ya ulingo?
  7. loving

    Lema hali tete Arusha

    Endelea kuota ndoto za mchana..... unaruhusiwa
  8. loving

    Godbless Lema akatazwa kupiga kampeni Arusha Mjini

    Yaani nitaamka early in the morning tarehe 25/10 kwa ajili ya Lema na ni bora nisimpigie kura raisi ila kwa Lema niweke alama ya Vema niondoke Viva Lema Arusha ni yako acha CCM wajigarakaze cc yetu macho kuwasanifu
  9. loving

    Umeme Arusha

    Arusha ni jiji au ni mfano wa jiji? Mgao wa umeme, biashara zimesimama, vipato vimekuwa duni ... Ninapofanya biashara umeme unakatika Saa 12 kasoro asubuhi Unarudi Saa nne..... Hii ni nchi gani? Au mawaziri wameondoka na umeme wao? TANESCO tuelezeni ni nini shida
  10. loving

    Mrejesho: Alinialika tuishi wote, sasa anadai nichangie kodi

    Umefanikiwa kutunga hadithi inayofundisha jamii
  11. loving

    Wema Sepetu abwagwa kwenye kura za maoni ubunge wa viti maalum Singida

    Hao teamwema wangetutesa....!
Back
Top Bottom