Lema hali tete Arusha

Lema hali tete Arusha

Mkuu humjui jingalao?
Wewe ni MPIGA POSHO maarufu wa UKAWA uko lindo masaa 24 mwaka huu ujue kibarua chako kinakata siku ya tarehe 25 Oktoba mapemaa, kusanya virago vyako rudi kwenu Msumbiji.
 
Mbunge wa CHADEMA Godbless Lema yuko hatiani kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali,hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo waahidi wananchi wa jimbo la Arusha Mjini.

Hilo tunalifahamu..........baada ya kumsumbua na makesi ya kipuuzi........kumkamata na kumghasi wakati wote angefanya saa ngapi.........?.........
tunamrudisha hiyo miaka mingine mitano........baada ya hapo ndio tutaamua kama tunamtaka au hatumtaki...........
 
With all respect kwa mheshimiwa Lema, huyu jamaa kitu ambacho amefanikiwa na kuzidi kuongoza jimbo la Arusha mjini ni kutokana na tu Chadema wanakubalika sana Arusha, lakini kwa ukweli kabisa Lema hakuna chochote anachofanya jimboni kwake. Najua watu watabeza na kusema yeye Lema siyo anayekusanya kodi, sijui kukusanya kodi na kujenga ni kazi ya serkali, sawa sikatai, lakini Lema amekuwa dhaifu kabisa kwenye kazi zake kwenye hili jimbo. Nazungumza hivi kwasababu ninaona hali halisi.
Wapo wabunge ambao ni sawa wa upinzani lakini juhudi zao na kazi zao majimboni unaziona, mfano mzuri ni Dogo Janja, huyu jamaa unaona kabisa anajituma sana na yuko karibu sana na wananchi anaowaongoza.
Watanzania tumekuwa na kawaida ya kuwachagua viongozi kutokana tu na mapenzi binafsi na hiki ndicho ambacho Lema kinachompa kick.
 
Mgombea uraisi UKAWA hana uwezo wa kuongoza nchi hii......mtu anajinyea ovyo wa kazi gani apelekwe matibabu nchi haitoongozwa na wagonjwa hii, wagonjwa watasaidiwa matibabu na nchi..OK?
 
Acha porojo wewe. Arusha Lema ameombwa asipoteze rasilimali kwa kampeni. Asaidie mafiwani wake kukampeni. Lema ni mbunge mteule Arusha anasubiri kuapishwa.
 
Mbunge wa CHADEMA Godbless Lema yuko hatiani kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali,hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo waahidi wananchi wa jimbo la Arusha Mjini.

Endelea kuota ndoto za mchana..... unaruhusiwa
 
Kama ni suala la kutekeleza "ahadi" haki ya mama yangu,CCM haitopata hata 1% ya kura popote Tanzania.AMINI NAKWAMBIA.

Bwana Abel umesema ukweli mtupu Watz wengi wanadhani mbunge ndo ajenge barabara hosp na shule wakati serikali waliyoiweka madarakani ipo.Tusipende kwaonea wabunge hasa wa upinzani wamefanya kazi kubwa kuliko wa chama tawala ambao wengi hupenda kulala na akisha amka huitikia ndiyooooooo bila kufahamu nini kimeongelewa
 
Lema amekaa kwenye Ubunge miaka 2 na nusu pekee lkn kafanya makubwa Arusha miaka yote jimbo hili lilikua chini ya ccm ilikua ni uozo mtupu muda wote walikaa vikao kijadili jinc ya kula hela za halmashauri tu, Na huyo Monabani wenu hali yake ndio MBAYA kupindukia alifanya mkutano sanawari mataa kulikua na watu wasio zidi 20 tena wanaccm vindakindaki Lema alifanya Phillips kulikua na nyomi ya kutosha mleta mada fanya tafiti kwanza ndio uongee hata cc tuko Arusha ucdanganye.
 
LEMA AKATAZWA KUFANYA KAMPENI MJINI

Katika hali isiyo ya kawaida,mgombea wa Ubunge kupitia CHADEMA/UKAWA jimbo la Arusha Mjini,Godbless Lema amekatazwa kupiga kampeni za ubunge. Wananchi wa Arusha Mjini wametoa katazo hilo kwakuwa Lema hana upinzani unaoonekana na hivyo hana haja ya kukampeni.

Wananchi wake wamemtaka Lema kuokoa rasilimali zake za fedha na muda. Lema ameruhusiwa tu kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake katika ngazi ya Udiwani. Mgombea wa CCM anaendelea na kampeni zake huku Lema akisubiri kupigiwa kura zake za vema hapo Oktoba 25.

Wananchi Arusha Mjini wanasema Lema atatunzwa kwa mema na harakati zake. Hana haja ya kuhangaika
 
Mbunge wa CHADEMA Godbless Lema yuko hatiani kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali,hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo waahidi wananchi wa jimbo la Arusha Mjini.

LEMA AKATAZWA KUFANYA KAMPENI MJINI

Katika hali isiyo ya kawaida,mgombea wa Ubunge kupitia CHADEMA/UKAWA jimbo la Arusha Mjini,Godbless Lema amekatazwa kupiga kampeni za ubunge. Wananchi wa Arusha Mjini wametoa katazo hilo kwakuwa Lema hana upinzani unaoonekana na hivyo hana haja ya kukampeni.

Wananchi wake wamemtaka Lema kuokoa rasilimali zake za fedha na muda. Lema ameruhusiwa tu kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake katika ngazi ya Udiwani. Mgombea wa CCM anaendelea na kampeni zake huku Lema akisubiri kupigiwa kura zake za vema hapo Oktoba 25.

Wananchi Arusha Mjini wanasema Lema atatunzwa kwa mema na harakati zake. Hana haja ya kuhangaika
 
Bwana Abel umesema ukweli mtupu Watz wengi wanadhani mbunge ndo ajenge barabara hosp na shule wakati serikali waliyoiweka madarakani ipo.Tusipende kwaonea wabunge hasa wa upinzani wamefanya kazi kubwa kuliko wa chama tawala ambao wengi hupenda kulala na akisha amka huitikia ndiyooooooo bila kufahamu nini kimeongelewa
Nisaidie kuwauliza Watanzania popote kama JK alitekeleza ahadi hizi na kama JPM atazitekeleza; Ndugu zangu,Tafiti za Twawezwa na Ipsos zisitutoe katika “Mstari” wa kutafakari “AHADI” za CCM za mwaka 2010 na Zile mpya za John Magufuli kama zisizotekelezeka.Ukitaka kujua kama Magufuli atatekeleza ahadi zake ANGALIA kama CCM ya Kikwete ilitekeleza walichowaahidi WATANZANIA wanaowaita “Wapumbavu,Malofa,Mbumbumbu na Kunguni kwa kuwa tu wepesi KUSAHAU!!!Kwa kuwa ninyi mpo sehemu mbalimbali TANZANIA thibitisha kama ahadi hiyo imetekelezwa ama kuna ahadi aliahidi sijaiweka hapa na HAIJATEKELEZWA!!!!
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora (HAJATEKELEZA)
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini (HAJATEKELEZA)
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria- Igunga (HAJATEKELEZA)
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga (
HAJATEKELEZA)
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
(HAJATEKELEZA)
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini
(HAJATEKELEZA)
7. Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma (HAJATEKELEZA)
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera (HAJATEKELEZA)
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi- Kagera (HAJATEKELEZA)
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba- Bukoba Mjini (HAJATEKELEZA)
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini (HAJATEKELEZA)
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera
(HAJATEKELEZA)
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera
(HAJATEKELEZA)
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu- Kagera
(HAINA MENO KABISA NA IMEJAA RUSHWA)
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya (MAUAJI YANAENDELEA)
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba- Kagera (HAJATEKELEZA NA ZILIZOPO MBOVU HAZIFAI)
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali (HAJATEKELEZA)
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika- Mwanza (HAJATEKELEZA NAVYAMA VILIVYOPO VINA HALI MBAYA NA VINGI VIMEKUFA KABISA)
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
(HAJATEKELEZA)
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita (
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote- Pemba
(KERO HAZIJATATULIWA)
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro
(HAJATEKELEZA)
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa- Mbeya mjini
(HAJATEKELEZA)
24. Kujenga bandari Kasanga –Rukwa (HAJATEKELEZA)
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea (HAJATEKELEZA NA WALIMU WAMEPUUZWA WANAULIZA -SHEMEJI UNATUACHAJE?)
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya (HAJATEKELEZA)
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga
(HAJATEKELEZA)
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa
(HAJATEKELEZA)
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro
(HAJATEKELEZA)
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini
(HAJATEKELEZA)
31. Kuboresha barabara za Igunga -
Tabora (HAJATEKELEZA)
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu (AMETEKELEZA)
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini (HAJATEKELEZA)
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)- Hydom Manyara (HAJATEKELEZA)
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa-Musoma (HAJATEKELEZA CCM NDIO CHANZO CHA CHOKOCHOKO)
36. Kulinda haki za walemavu- Makete (HAJATEKELEZA,WANATUMIKA KWENYE KAMPENI TU)
37. Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini (HAJATEKELEZA)
38. Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu Arusha-Arusha (HAJATEKELEZA)
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini (HAJATEKELEZA)
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni- Kigoma– Kaliua,Tabora (HAJATEKELEZA)
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi- Arusha Mjini
(ANGALAU JAPO KIWANGO HAKIRIDHISHI)
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
(HAJATEKELEZA)
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido
(HAJATEKELEZA)
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
(HAJATEKELEZA)
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu 2010 mkoani Arusha – Arusha mjini
(HAJATEKELEZA NCHI IPO GIZANI KWA MGAO AMBAO HAUJATANGAZWA)
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo- Busekera, Wilaya ya Musoma, .
(HAJATEKELEZA)
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido (HAJATEKELEZA)
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti – Ngorongoro (HAJATEKELEZA)
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara
(HAJATEKELEZA)
50. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini (HAJATEKELEZA)
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
(HAJATEKELEZA NA HALI NI MBAYA SANA)
52. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
53. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania- Iringa
(HAJATEKELEZA)
54. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda (HAJATEKELEZA - CHOKOCHOKO ZA CCM ZINAHATARISHA AMANI)
55. kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara (HAJATEKELEZA)
56. Kuwapa wanawake nafasi zaidi- Kilolo ,Iringa (ANGALAU)
57. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
(HAJATEKELEZA)
58. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa- Kabandamaiti mjini Zanzibar (HAJATEKELEZA)
59. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti (HAJATEKELEZA)
60. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma
(HAJATEKELEZA)
61. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
(HAJATEKELEZA)
62. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma
(HAJATEKELEZA)
61. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
(MISAADA YA VYANDARUA NA VYOO KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI)
62. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam (HAJATEKELEZA)
63. Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara (HAJATEKELEZA)
64. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha
(HAJATEKELEZA)
65. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa- Kibaha. (HAJATEKELEZA)
66.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -
Kibaha (HAJATEKELEZA) N.K
CCM HAIAMINIKI TENA,WAKATI UMEFIKA CCM INAPASWA ITOLEWE KWA NJIA YA KURA MADARAKANI?..KWA NINI WASITEKELEZE AHADI HIZI KABLA YA KUAHIDI ZINGINE?.
...CHAGUA LOWASSA..CHAGUA UKAWA (CHADEMA/CUF/NLD/NCCR MAGEUZI)
 
Acha porojo wewe. Arusha Lema ameombwa asipoteze rasilimali kwa kampeni. Asaidie mafiwani wake kukampeni. Lema ni mbunge mteule Arusha anasubiri kuapishwa.

Labda ameombwa na malofa
 
64 mpka 66 ametekeleza japo nasikia na yeye anashare humo huyu jamaa baba rizi
 
Karibu sana Arusha naona una post kama vile uko Malawi. Arusha CCM wananyata wanavizia vizia hawana amani. Hawawezi hata kupiga kampeni Juzi niliwaona wanafunga bendela za ccm kwenye nguzo umeme Uzunguni huku wamejihami na mapanga.

Duh, mbavu zanguuuu jamani, yaani ccm wanaishi kwa hofu hivyo. To hell ccm
 
TUumpe pole mleta mada. Ni Anaota ndoto mchana.
JF lazima tuwe na standard kuhusu ukweli wa post zinazoingizwa humu. Otherwise tutawaachia wendawazimu na wapika majungu watujazie bytes zetu bure.
 
Hata jk hatachaguliwa tena.
 
Back
Top Bottom