Godbless Lema akatazwa kupiga kampeni Arusha Mjini

Godbless Lema akatazwa kupiga kampeni Arusha Mjini

Yaani nitaamka early in the morning tarehe 25/10 kwa ajili ya Lema na ni bora nisimpigie kura raisi ila kwa Lema niweke alama ya Vema niondoke
Viva Lema Arusha ni yako acha CCM wajigarakaze cc yetu macho kuwasanifu
 
Ccm arusha mjini bado wapo?? Kuna watu hawaju alama za majira kabisa yani
 
Afu kuna watu humu wanasema lema ashindi Arusha...Hawatujui wana Arusha hawa..Mabadiliko yalianzia hapa...Ccm hawana nafasi hata ya ubarozi wa nyumba kumi...
 
Niko Arusha hapa... bendera za ccm zimemwagwa kila mahali mpaka kwenye miti mirefu kabisa na nyaya za umeme.... jana nilienda sehem moja maarufu inaitwa milestone bar iko maeneo ya sakina na kulikiwa na wanasherila kibao nadhani 90%... kuna kijana alikuwa anauza bendera za cdm... nilimuona kama mara 4 hivi anakuja na mzigo wa kutosha na wote unaisha fasta ndani ya saa 1 na nusu... mtaani bendera za ccm zinalindwa kwa mabavu lakini kila mtu ni lema... Go kamanda gooooo.... watu ukiwatendea mema wanajua na wewe tiyari ni Lema tena mjengoni 2015....
 
Asante kamanda kwa taarifa.......
mtaani kwetu CCM wamegoma kuweka diwani.........hatuna mgombea wa CCM kabisa...........Sijui shida ni nini.........

Preta banaaaa....yaani hujui kabisaaa shida ni nini!?
 
Ccm hawana tofauti na Tareeq Aziz , aliyekua waziri wa Sadaam Hussein !
Aziz kila kukicha alikua haamini kama Bush na majeshi yake anazidi kuisogelea Iraq !
 
Kazi kuuubwa kabisa na ya msingi sana na ya kishujaa ambayo Mheshimiwa Godbless John Lema ameifanya hapa Arusha na kupitia jimbo hili; katika NJI nzima ni kuleta UKOMBOZI WA FIKRA na MWAMKO WA kujiamini; Kujitambua na Ujasiri wa kuzijua haki zao na kuzitetea kwa hali na mali pale inapobidi miongoni mwa wananchi.

Hii ni sawa na kazi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere; RIP; alizozifanya kati ya mwaka 1953 na mwaka 1961; UKOMBOZI WA FIKRA; KUJITAMBUA; KUJUA UTU WAO NA KUJENGA UJASIRI MIONGONI MWA RAIA na kuwawezesha kukabiliana na wakoloni mpaka Uhuru ukapatikana. Mwalimu Nyerere hakufanya kazi ya kujenga barabara, zahanati wala shule katika kipindi cha vuguvugu la ukombozi; kazi hizo alizianza mara tu baada ya Tanganyika kujipatia uhuru na baada ya miaka 10 ya uhuru aliwakaribisha wakoloni akiwemo gavana wa mwisho wa mwingereza Sir Richard Turnbull mwaka 1971 waje kujionea hatua tuliyofikia katika kipinda kifupi tu cha miaka 10; moja ya vielelezo vikubwa ni uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.

Bravo GJL; Tutakuchagua kwa kishindo Kamanda uendelee na kazi ya kuongoza mapambano dhidi ya mkoloni mweusi CCM

Lema kafanya lipi hasa Arusha?
 
Back
Top Bottom