Recent content by lovely097

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aje kua mume wangu

    mkimaliza kuongea mje pm.....
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aje kua mume wangu

    jamani natangaza natafuta mchumba ......pm...karibuni mmiminike.....
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aje kua mume wangu

    polee ..naona nawe Una shida na stress za mahusiano karibu.....maana umefurukuta mpaka kijasho cha sikio kimekutoka...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aje kua mume wangu

    poleni wana jf...naona povu limewatoka......hahahahah...karibuni mjini!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aje kua mume wangu

    Nina miaka 28, Mkritu, Sina kazi, Elimu yangu form 4, Natafuta mchumba awe mkritu, Atakaeweza kunitunza nami nimtunze, Miaka 30-35. Kama uko tayari ni pm.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa katiba na sheria, Mwakyembe; Nini hatma ya hawa wanyonge waliositishiwa ajira za mahakama?

    kwani MNA umuhimu gani? wenye umuhimu wamerudishwa na malipo juu ...walalahoi wataisoma Namba....hii ndio sirikali....ajira zimetolewa huku watu Bado wanasugua gaga na barua za kusitishwa....hii serikali Mungu anawaona na sijui usingizi mnapata kweli nyie watu sielewi aisee!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma waliorudishwa nyumbani june 2016

    mwakani ....mwambie apunguze stress na afanye mambo mengine .....Kama hataki kufa kwa mawazo..
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ajira serikalini kumwagwa

    iyoo mwakani.......hata siwazi ntaanza kuwaza ajira 2017
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wadada watatu wanahitajika kwa Swimming Project

    na ni wapi inafanyika?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mwaka huu ajira za serikali zipo kweli??

    Kama kuna sehemu wanakopesha vijana bila asset yoyote tujuzane watu tukachukue mikopo tuanze biashara OVER!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mgambo wapata ajira

    tusubiri promotions ...maana hakuna Namna....ngachokaaaaàaaaaaaa!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mh. Raisi Magufuli tunaomba uachilie ajira ulizositisha

    ombeni yasiwakute.....bora mkae kimya ...kuliko kujibu pumba....
  13. L

    JamiiForums Tanzania Gavana: Baada ya muda mrefu, tumefanikiwa kupunguza deni la taifa kwa bilioni 96

    ajira....ajira...ajora....plz!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kukanusha taarifa kuhusu tangazo la ajira serikalini

    kufa hatufi ila chamoto tutakiona...huu mwaka wetu aisee...tutazisoma Namba zitaisha tutasoma na herufi zote irabu na consonant zitaisha....na Bado tutakisoma kichina na kijapan.....aisee tunalo na tutakoma mwaka huu....
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe, Wafanyakazi wa Mahakama Waliorudishwa Nyumbani watarudi kazini lini?

    ni kuwa wapole tu.....nchi hii Sio kabisa!
Back
Top Bottom