mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheriapolee ..naona nawe Una shida na stress za mahusiano karibu.....maana umefurukuta mpaka kijasho cha sikio kimekutoka...
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheriapolee ..naona nawe Una shida na stress za mahusiano karibu.....maana umefurukuta mpaka kijasho cha sikio kimekutoka...
sawa mkuuni sahihi anaweza akawa hajawahi kuwa na ndoa lkn kazalishwa watoto mpaka wa4 akiwa kwao. ndo maana nikamuuliza ana watoto wangapi wa nje ya ndoa.
Tuanze na wwNina miaka 28
mkritu..sina kazi
elimu yangu form 4
natafuta mchumba awe mkritu...atakaeweza kunitunza Nami nimtunze...miaka 30-35...
Kama uko tayari ni pm...
mi nataka tumalizane hapa hapa.mkimaliza kuongea mje pm.....
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheriamkimaliza kuongea mje pm.....
Nina ushahidi husiyo na shaka yeyote baada ya ajira kuwa ngumu wanawake wamegeuza wanaume kazi zao, sasa wewe huna kazi hutamtunzaje? Mapenzi, kupika na kufua kunaleta mchele sokoni?Nina miaka 28
mkritu..sina kazi
elimu yangu form 4
natafuta mchumba awe mkritu...atakaeweza kunitunza Nami nimtunze...miaka 30-35...
Kama uko tayari ni pm...
Kwa hiyo anamgeuza mme ndyo kazi, yeloii wazazi njooni muone huku watoto wa kike wanajiuza, Badoo imehamia huku nenda ibadani au mwambie mchungaji wako akutangazie kama utaweza, baba Magu rudisha hela bank za biashara zina mgomo hazikopeshi la sivyo haya matangazo ya Dada zetu waoga wa kazi ngumu yatatamarakiNa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Rejea hapoNina miaka 28
mkritu..sina kazi
elimu yangu form 4
natafuta mchumba awe mkritu...atakaeweza kunitunza Nami nimtunze...miaka 30-35...
Kama uko tayari ni pm...
Nnahisi huyu atakuwa ni mmoja wapo wa wale ambao vyeti vyao vya form 6 mpaka chuo vimeungua na moto na wakatoaga matangazo mtu akiviona ampigie simuWewe taperi.
tar.17.11.2015 uliweka thread ukiomba kazi ukisema una degree ya sheria na law school of Tanzania.
sasa kwa sasa unasema umemaliza kidato cha NNE,Mimi sikuwezi kwa kweli ,.
Unadhani humu wote ni ******.
Afu mbona mwandiko wako umekaa kiume usikute dume wewe?polee ..naona nawe Una shida na stress za mahusiano karibu.....maana umefurukuta mpaka kijasho cha sikio kimekutoka...
Nina miaka 28
mkritu..sina kazi
elimu yangu form 4
natafuta mchumba awe mkritu...atakaeweza kunitunza Nami nimtunze...miaka 30-35...
Kama uko tayari ni pm...
Mimi Nina 36 vipi nitakubalika?Na ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Rejea hapo
![]()
Na ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
MKRITU ndo dini gan hyo? Hata uandish wako na content yako ni dhahir nikikuoa utanizalia watoto vilazaNina miaka 28,
Mkritu,
Sina kazi,
Elimu yangu form 4,
Natafuta mchumba awe mkritu,
Atakaeweza kunitunza nami nimtunze,
Miaka 30-35.
Kama uko tayari ni pm.