Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Haaa kajificha uko alipoNa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Haaa kajificha uko alipoNa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Ni washikaji mkuu, siunajua hizi simu unaandika na zenyewe zinajitia ufundi wa kurekebisha spellingwashigaji?washikaji? ..nmekupata mkuu
[emoji122]Ni washikaji mkuu, siunajua hizi simu unaandika na zenyewe zinajitia ufundi wa kurekebisha spelling
nikusaidie kuelewauna watoto wangapi wa nje ya ndoa?
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheriapoleni wana jf...naona povu limewatoka......hahahahah...karibuni mjini!
ni sahihi anaweza akawa hajawahi kuwa na ndoa lkn kazalishwa watoto mpaka wa4 akiwa kwao. ndo maana nikamuuliza ana watoto wangapi wa nje ya ndoa.nikusaidie kuelewa
kasema anataka mchumba ina maana hajawahi ipata ndoa.
kamata fursa!!!.
polee ..naona nawe Una shida na stress za mahusiano karibu.....maana umefurukuta mpaka kijasho cha sikio kimekutoka...
Vipi kuhusu dini?Nina miaka 28
mkritu..sina kazi
elimu yangu form 4
natafuta mchumba awe mkritu...atakaeweza kunitunza Nami nimtunze...miaka 30-35...
Kama uko tayari ni pm...
Ndo mbinu yake ya kumpata mwenye mapenzi ya kweliNa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Duh!we jamaa ni mfukunyuku!Na ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Wew ni muongo alafu huna kumbukumbu, Random access memory (RAM) yako ipo very low space, sisi sio watu wa sport sportpoleni wana jf...naona povu limewatoka......hahahahah...karibuni mjini!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Na ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria