Habari wakuu,
Nauliza wapi kwa Dar naweza kupata physiotherapist anaefanya home visitation..Nina mgonjwa wa miguu ambae nahitaji huduma akiwa nyumbani.
Shukrani.
Habari,
Naomba kuuliza kama inawezekana ku badilisha screen cover ya Sony Bravia tv,
Maana yangu ilifutwa kimakosa na kitambaa chenye unyevu ile screen cover ikawa imejikunja hivi na zaidi wakaanza kui ondoa ile cover wakidhani haina effect kumbe haionyeshi.
Kama naweza kubadilisha ita cost...
Reply 1988 one of the best aysee ni drama ambayo niko katika mipango ya kuirudia tena..
Hakuna episode nilicheka kama wale ahjummas walivyoenda kwenye singing competition [emoji1787]
Nilijaribu kuanza reply 97 nikawa bored na nlivosoma review yake dramalist ndo nikaiacha kabisaaa .all the best
Nmeweza kuangalia walking dead ila sijui kwa nn kingdom inanishinda
Nmeangalia episodes chache zimenitisha mpaka nmeota [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikaacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.