lovely love
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 337
- 295
Habari,
Naomba kuuliza kama inawezekana ku badilisha screen cover ya Sony Bravia tv,
Maana yangu ilifutwa kimakosa na kitambaa chenye unyevu ile screen cover ikawa imejikunja hivi na zaidi wakaanza kui ondoa ile cover wakidhani haina effect kumbe haionyeshi.
Kama naweza kubadilisha ita cost kiasi gani?