Foleni kubwa sana Bunju-Boko:05 September 2020

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,325
Habari wadau,

Kuna foleni kubwa sana maeneo ya bunju,gari hazitembei,nimekwama hapa juu kilimani mbele ya lake oil.

Vyombo husika(trafiki) njooni muokoe jahazi.
 
Labda ni siku ya soko pale Boko chama, siku za soko jioni huwa foleni ndefu sana
 
Halafu unasikia mijitu inasema miundo mbinu ndio itakuchagua! Mnaoona sasa shida!
 
kwan huk Viwanja bei gan huko, ungeishi hata goba huku karbu
 
Habari wadau,

Kuna foleni kubwa sana maeneo ya bunju,gari hazitembei,nimekwama hapa juu kilimani mbele ya lake oil.

Vyombo husika(trafiki) njooni muokoe jahazi.

Kwani maeneo ya Kuishi Mkoani Dar es Salaam hasa yaliyo karibu na Mjini yameisha hadi ukimbilie tu Kuishi huko Mashambani sijui Bunju na Boko?
 
Habari wadau,

Kuna foleni kubwa sana maeneo ya bunju,gari hazitembei,nimekwama hapa juu kilimani mbele ya lake oil.

Vyombo husika(trafiki) njooni muokoe jahazi.
kamata boda fasta.
 
Back
Top Bottom