Recent content by Love Candy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Serikari itusaidie wizi huu unaofanywa na Mabenki

    Benki zote huwa zinachaji riba ya kutunza pesa za mteja kila mwezi. Je ni kwanini akaunti ikiwa haina hela huendelea kuchaji na kuwa deni kwa mwenye akaunti wakati akaunti haikuwa na hela? Je ni haki?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli anawa-prove wrong waliodai tatizo ni mfumo na sio mtu

    Huyo magufuli anafanya haya yote akijua kuna upinzani imara utamtetea au utakuwa pamoja nae. Hata kikwete angekuwa kachaguliwa mwaka huu angefanya kama magufuli haya ni matunda ya upinzani imara na usijue kuwa magufuli yuko imara.
  3. L

    JamiiForums Tanzania NSSF PPF NHC VODACOM AIRTEL CRDB hawajashiriki usafi?

    Acha unafiki mleta mana we njoo hapa airtel morocco ujionee huu uzushi wa mitandao muuache
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ripoti za Mwakyembe kuhusu madudu bandarini ziwekwe wazi, sio kutumbua majipu tu!

    umeelewa alichosema mnyika, ni riport kuwekwa wazi na sio kwamba magufuli hana riport.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Atakayefanikisha kupata kazi, nitampatia mshahara wote wa mwezi kabla ya kuanza kazi.

    Kazi utapata cha msingi muombe sana Mungu na usikate tamaa. Tupo wengi mimi mwenyewe nina mwaka wa 4 sasa sijapata ajira. Usisikilize maneno ya watu yanayokatisha tamaa utapata kazi nzuri na yenye mshahara mnono na utawapita hata waliotangulia kupata kazi. Kitu nilichogundua hatujiandai vizuri...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Bwanamkubwa wa CCM Bandarini anamiliki Makampuni mangapi?

    kwani mwenzako kataja k?tena au kampuni uwe unasoma na kuelewa kabla ya kukomenti
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    acha ujuha wewe vipindi vinalipiwa taarifa ya habari tu ndo hailipiwi mwenzako kazungumzia matangazo yake ya live.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ugomvi kati ya JK na Lowassa ni mpango wa Mungu

    Nguvu ya Lowasa ndiyo imempitisha Magufuli na kumkata Membe na ikumbukwe Magufuli alikuwa upande wa Lowasa. Na ndo mana Magufuli ana hasira na JK. Na lazima JK afungwe kama huamini utaona
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Zanzibar unachelewesha kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri

    Mtoa mada hoja yako si kweli. Ukweli ni kwamba bado tunatumbua majipu ili tusije tukateua mawaziri wenye majipu ikatutatiza kutumbua majipu au kuchangua mawaziri tena baada ya kumtumbua jipu waziri husika.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye haki ya kudai fidia baina ya Baba Mdogo wa Mawazo na CHADEMA?

    wote wana haki ya kudai hata mimi nilieenda kuzika nitafungua kesi ya madai mana wameniongezea garama bajeti yangu ilikuwa ya siku 3 ila kutokana na kuongezeka kwa siku ikabidi bajeti pia iongezeke lazima tuwatie adabu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni ufisadi

    Watu wanashabikia tu stand kuhamishwa bila kuangalia atakaeathirika ni nani? Mjue stand ikihama na garama za nauli zitaongezeka mana itabili upande daladala hadi Ubungo cha msingi ni kuboresha miundombinu kukabiliana na changamoto. Chekelee UDA wanafurahia wawakamue visenti vyenu na nauli...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni ufisadi

    elewa hoja zake kwanza kuepuka matumizi mabaya ya fedha za umma, pili itawezesha kufanya biashara mzuri kwa magari yaendayo kasi mana abiria wakishuka toka mikoani wataingia kwenye magari ya mwendo kasi kuelekea makwao. Sio kila hoja tupinge kwa kuingiza mambo ya siasa. Mimi nashauri isiondolewe...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Mi nakushauri tembelea hata kiwanda cha kusaga unga cha bakhresa(azam) kuna vitu utapata.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nina mill Tshs milioni 20, naomba ushauri wa mradi wa kufanya

    Mimi nipe laki 5 tu na kila mwezi nitakurudishia laki 250 000 kwa miezi mitatu na utajifunza biashara kupitia kwangu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa/CHADEMA wanateswa na dhambi ya kumdhihaki na kumdhalilisha Dk. Slaa

    Wewe kama sio Dr. Slaa nahc umetumwa
Back
Top Bottom