Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni ufisadi

Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni ufisadi

Acha kukurupuka wewe, fuatilia kwanza ni kwanini WORLD BANK, walijitoa kwenye kuufadhiri mradi huo.

Simpaka wawe nahizo akili Wanatoka mipovu ikitokea Magufuli akasema kama Kubenea nayenyewe utayasikia yanashangilia Kiukweli kuwa Mwana CCM ni LAANA
 
Kubenea huenda akamfunika Mnyika. Umaarufu wake ukipanda ghafla wenye chama lazima watamshughulikia
 
Washington DC, New York City, London kutaja tu baadhi ya majiji makubwa duniani bus terminals ziko katikati ya Jiji. Washington DC ile Union Station upenuni mwa USA Capital ndipo ilipo Bus terminal, kituo kikuu cha reli ya AMTRAC na subway. Ni upuzi kabisa mabasi ya mikoani yashushe abiria huko Kibamba wasiojua machungu na usumbufu watakaopata abiria kwenda na kurudi toka huko Mbezi. Ufisadi tu, mtaisoma mwaka huu mafisadi.
 
Naomba cv ya kubenea....watalamu wetu na wasomi walisema hiyo stend inatakiwa itoke iwaje yey akatae labda nae kasomea mambo ya balabal
 
Washington DC, New York City, London kutaja tu baadhi ya majiji makubwa duniani bus terminals ziko katikati ya Jiji. Washington DC ile Union Station upenuni mwa USA Capital ndipo ilipo Bus terminal, kituo kikuu cha reli ya AMTRAC na subway. Ni upuzi kabisa mabasi ya mikoani yashushe abiria huko Kibamba wasiojua machungu na usumbufu watakaopata abiria kwenda na kurudi toka huko Mbezi. Ufisadi tu, mtaisoma mwaka huu mafisadi.

hata SOUTH AFRICA, AUSTRIA, ALGERIA, MOROCCO Stand kuu zipo katikati ya miji Inapoanzia treni na mabasi,TAXI, daladala ni hapo hapo. CCM si wakoje?? ni watu wa ajabu sana. ilani yao inasema wanataka kujenga barabara ya juu ubungo kuondoa msongamano pale, leo wanataka kuhamisha kituo.. Sijui lini wataamka hawa.
 
Acha ushamba wewe, foleni itaisha kwa kuimarisha miundombinu na sio kuhamisha stendi. Pale inatakiwa kujengwa BYPASS ya kuingiza na kutoa mabasi stendi juu kwa juu bila kukutana na madaladala yenu. Magufuli aanze na elimu kukomboa watu kama wewe

Haaa....haaaa....haaa
 
Wasomi wetu bure kabisa wanakimbia changamoto. Watu wakiongezeka kibamba itahamia tena mlandazi. Maana stendi mwanzo ili kuwa mnazimoja ikahama ubungo. Ubungo inahama kibamba pakijaa kibamba itakwenda mlandazi pakijaa....?

Watu Waache uvuvi wa kufikiri.
 
ASITULETEE siasa stendi inahamishiwa boko mashamba ya dawasco kuondoa msongamano

elewa hoja zake kwanza kuepuka matumizi mabaya ya fedha za umma, pili itawezesha kufanya biashara mzuri kwa magari yaendayo kasi mana abiria wakishuka toka mikoani wataingia kwenye magari ya mwendo kasi kuelekea makwao. Sio kila hoja tupinge kwa kuingiza mambo ya siasa. Mimi nashauri isiondolewe ila pesa za kuhamishia stand waboreshe barabara toka mbezi hadi ubungo kuondoa foreni.
 
Acha hizo huo ndio ushabiki usiyo na tija, lile daraja pale lilijengwa la nini kama mnataka kuhamisha stendi? Huko si kufuja fedha za umma? Hongera Kubenea kwakuona mbali Mungu akutee kwa hilo. KEEP IT UP
 
Watu wanashabikia tu stand kuhamishwa bila kuangalia atakaeathirika ni nani? Mjue stand ikihama na garama za nauli zitaongezeka mana itabili upande daladala hadi Ubungo cha msingi ni kuboresha miundombinu kukabiliana na changamoto. Chekelee UDA wanafurahia wawakamue visenti vyenu na nauli itakuwa buku
 
Kwanza yeye ni nani mpaka azuie stendi isihamishwe?
Kama ungekuwa unaeleewa majukumu ya mbunge usingeandika hayo. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi, wala si mwamuzi wa mwisho na ndio maana anapeleka hoja bungeni ikajadiliwe ma kutolewa ufafanuzi na serikali ambayo ndio mwamuzi. Endelea kujifunza taratibu muundo na majukumu ya mihimili ya nchi
 
Standi ipelekwe Kibaha...
ni kwa vile hajui tunavoteseka kupishana na mabasi hapo mataa

Kuna watu wengine mmezidi,mnakaa eneo moja kama magunia!Hata magunia pengine yanaweza yakawa yamesafiri kuliko hawa watu,cha ajabu mnajifanya wajuaji!Hivi unajua adha utakayoipata umetoka kigoma,kahama,mbeya,iringa umechoka una mizigo halafu ushushiwe kibaha?Au unakaa mbagala,unataka uwahi basi kibaha la kwenda mikoani asubuhi sana unafikaje?Kwa gharama gani?
Kupeleka stand nje ya mji si jawabu kwa foleni!Suala ni mipango tu ya miundombinu!
 
Hahaha Mkuu sio kama Magunia maana yanaweza kumuvuzishwa.....ungesema kama Beacon maana ukihamisha hizo huwa ni kesi kubwaa
 
Back
Top Bottom