Love Candy
Member
- Jul 16, 2015
- 90
- 14
Benki zote huwa zinachaji riba ya kutunza pesa za mteja kila mwezi. Je ni kwanini akaunti ikiwa haina hela huendelea kuchaji na kuwa deni kwa mwenye akaunti wakati akaunti haikuwa na hela? Je ni haki?
Bank zinatoa riba kwa mteja kuweka fedha zako. Ila zinakuchaji ada fulani fulani kwa huduma mbalimbali, kama account management fees, transaction fees, withdraw fees, ATM card fees etc. Tatizo la bank zetu ni viwango vikubwa vya hizo charges na pia charges zingine hazina maana. Kwa mfano CRDB wanachaji ATM card fee kwa mwaka. Halafu bado kila transaction ninayofanya kwenye ATM wanakata ada.Benki zote huwa zinachaji riba ya kutunza pesa za mteja kila mwezi. Je ni kwanini akaunti ikiwa haina hela huendelea kuchaji na kuwa deni kwa mwenye akaunti wakati akaunti haikuwa na hela? Je ni haki?
GharamaZile charges ni kwa ajili ya account management fees kwaiyo ni ghalama ambazo mteja anatozwa kwa kua na account au kumiliki account na azitozwi kwa sa babu ya kuweka pesa