baby s
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 546
- 432
Sasa ni wazi kuwa mgogoro uliojitokeza kati ya JK na Lowassa ulikua ni mpango wa Mungu ili kuikomboa nchi ya Tanzania. Urafiki huu maarufu kama boys 2 men ulianza kuwa maarufu katika uchaguzi wa 1995 ambapo wote waligombea urais .
Baada ya kushindwa walianza kujipanga kwa kuunda mtandao ambao ulimweka madarakani JK mwaka 2005na Kisha kuunda serikali ya fadhira za wanamtandao na kuruhusu wafanya biashara waliowachangia kutokulipa kosi .
Ugomvi huu ilikuwa mpango wa Mungu ili kumuibua magufuli nakumpoteza membe ambae angefanya yale yale yakuwalinda marafiki wa mtangulizi wake. Mungu ametuhurumia kwa kuleta magufuli na sasa tunaona wakwepa kodi wanapewa siku 7.
Membe angeweza kuyatumbua majipu yaliyosababishwa na uteuzi wa JK?