Huyu Bwanamkubwa wa CCM Bandarini anamiliki Makampuni mangapi?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Hivi Kinana Bandarini ana Makampuni mangapi ya meli na uwakala wa upakuaji mizigo katika Bandarini ya Dar es salaam? Yanalipiwa kodi? Je, ni kati ya yake ambayo Mh Magufuli ameyaona? Yameguswa?
Wajuzi zaidi wa mambo tujuzane hapa.
 
Kinana agusweeeeeeee.... hahaaaaa...na ana makampuni lukuki...

Vidagaa vitakoma, ila mapapa kama kawa wanapeta
 
Hakuna awezaye kujitoboa jicho kwa njiti ya kutibolea meno ati anatoa tongotongo. Wapo wasiofikiwa na ufagio. Kinana ni mmojapo

taja mojawapo ya kampuni zake ambalo limekwepa kodi uuone moto wa msukuma......hapana chezea "hapa ni kazi Tu"
 
Pengine ni mlipaji mzuri wa kodi! Au ndio Yale yenye uhai wa vimemo.
 
Pembe sio zake ila kampuni iliyodafirisha pembe ndio yake.#tembowetuwataisha
 
Wanaofurushwa mpaka sasa ni wale wafanya biashara wanaokwepa kulipa ushuru, kama Kinana ana meli za biashara na analipa ushuru vizuri msimsumbue na kama kuna ushuru wa serikali andikeni ni upi, tafitini kwanza.
 
Kikosi cha kuzungusha mikono toeni hoja na uthibitisho. Taja tu majina ya kampuni za kinana zisizolipa kodi. Tukiona JPM hazikamati tuungane nanyi kutomuamini. Kwa nini mnaishi kwa hisia. Tulipowahoji mnaamini Lowasa na timu yakewana uwezo wa kuleta mabadiliko kuliko Slaa na Lipumba majibu yenu ni matusi hadi leo mnajibu hoja kwa matusi. Mlitarajia JPM atekeleze chini ya kiwango mpate pa kuanzia. Poleni,waambieni mnaodhani wana uwezo mkubwa wajenge hoja bungeni kuwa JPM haaminiki msikie mtaani wanasemaje ili mthibitishe hoja zenu. Mtu na akili zake timamu ooh xyz ana fedha kuliko ukoo wenu wote. Kwa hiyo ? Unahoji uhalali wa biashara za kinana za muigizaji wa kuzungusha mikono unazitakasa kwa matusi yako. Tuwaweke hadharani wezi wote bila kujali wako upande upi. Tz ni zaidi ya CCM,CDM,CUF na UKAWA ni zaidi ya Kinana na Lowasa. Wakwepa kodi na wezi wrote wabanwe tu.
 
Bavicha akili kama nyumbu,bilicanas kiingillio 10,000 hakuna risiti ya EFD wala hakuna anaehoji.mtanyooka tu
 
sio kinana tu, ukiichunguza sana serikali iliyopita unaweza hata ukatapika kwa ufisad waliofanya, sasa sijui uyu rais anampango nao gan hao mafisad na sisi tulitaka hao ndio wawe wa kwanza ndio tungekuwa na iman nae
 
Kikosi cha kuzungusha mikono toeni hoja na uthibitisho. Taja tu majina ya kampuni za kinana zisizolipa kodi. Tukiona JPM hazikamati tuungane nanyi kutomuamini. Kwa nini mnaishi kwa hisia. Tulipowahoji mnaamini Lowasa na timu yakewana uwezo wa kuleta mabadiliko kuliko Slaa na Lipumba majibu yenu ni matusi hadi leo mnajibu hoja kwa matusi. Mlitarajia JPM atekeleze chini ya kiwango mpate pa kuanzia. Poleni,waambieni mnaodhani wana uwezo mkubwa wajenge hoja bungeni kuwa JPM haaminiki msikie mtaani wanasemaje ili mthibitishe hoja zenu. Mtu na akili zake timamu ooh xyz ana fedha kuliko ukoo wenu wote. Kwa hiyo ? Unahoji uhalali wa biashara za kinana za muigizaji wa kuzungusha mikono unazitakasa kwa matusi yako. Tuwaweke hadharani wezi wote bila kujali wako upande upi. Tz ni zaidi ya CCM,CDM,CUF na UKAWA ni zaidi ya Kinana na Lowasa. Wakwepa kodi na wezi wrote wabanwe tu.
Wewe ni kikosi cha kuzungusha kiuno?
 
Tajeni hata jina moja basi la ayo Makampuni lukuki mbona midomo mirefu alafu hamsemi dah bavicha mnazngua sana
 
Labda ungeanza kutaja majina ya makampuni yake
 
taja mojawapo ya kampuni zake ambalo limekwepa kodi uuone moto wa msukuma......hapana chezea "hapa ni kazi Tu"

Meli zake ndizo zilibeba magogo na meno ya tembo kwenda china au unabisha? Ati taja kampuni zake, we ni mgeni hapa Tz?
 
Back
Top Bottom