Recent content by LOTTI masai

  1. LOTTI masai

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    mimi nmenunua juzi tu hapa chanika shamba eka 2 kila moja kwa 2m..kusema eka laki moja si kweli.tena nibali kabisa na barabarani karibu km 7
  2. LOTTI masai

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    vp siss ambao tulinunua mwanzoni hicho kitabu cha mafunzo ya green house maana mimi materials nimeshindwa kabisa namna ya kupata na kuijenga hiyo green house wale jamaa wa arusha nimewapigia simu hatukuelewana nikamtuma mtu aende na kaenda na ile page yenye hivo vifaa na bei zake lakn majibu...
  3. LOTTI masai

    Kama unaitaji vifaranga vya sato ni pm nikuunganishe na muuzaji

    mkuu ntakucheki npo kwenye mchakato wa kabwa changu..nianze ufugaji maeneo ya chanika.nikshakua.tayari ntakushtua
  4. LOTTI masai

    Depo inakuaje huko CCP Moshi

    kaka mkubwa hapo juu ameongea vizuri sana expirience yake mm nineenda karibuni na nmeshaenda depo mara 2..ya recruit na ya inspectorate na stil npo kwenye hii kampuni nikifundisha kwenye moja ya vyuo vya maafisa kama upo serious nipigie tuonane nikupe expirience vizuri na wat should u do.0717088069
  5. LOTTI masai

    Clouds Media wamesimama wapi katika hili la Escrow?

    ##ni wanafiki mpaka basi hawa clouds
  6. LOTTI masai

    Clouds Media wamesimama wapi katika hili la Escrow?

    me nilishawazoea ni mambulula sana..mwanzoni walikua wanamkandia sana kafulila alivoibua hii hoja ghafla juzi baada ya kuona upepo cyo mzuri wanaanza kujifanya wanaponda escrow..ni wanafikia mpaka basi hawa clouds
  7. LOTTI masai

    Natafuta kazi ya part time kama mkufunzi

    Mimi ni mkufunzi katika mojawapo ya vyuo vya serikali kilichopo hapa dar es salaam.lakini napenda kutafuta opportunity zaidi kwa sabb mishahara haitoshi na haitoshi kupata msingi hata wa kuanzisha kabiashara.Naomba nafasi ya kufundisha masomo ya social sciences ikiwemo communication...
  8. LOTTI masai

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    habari mkuu eti hii mashine ya 75000 ikoje?au ndo hizihizi za kugrand nyama ambazo c lazima 75000 cz zna bei tofautitofauti
  9. LOTTI masai

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    mbepo myamba hongera sana nataman sana kufika hapo sema muda umebana ila ntajitahidi kadri niwezavyo nikipata chance nije
  10. LOTTI masai

    Nahitaji Mbolea ya Kuku

    Mkuu ingawq post ya mudarefu ioa nina shida kamq hii uliokua nayo ww je ulifanikiwq kupata mboleq ya kuku?me npo chanika natafuta mbolea ya kuku
  11. LOTTI masai

    Natafuta mbolea ya kuku

    Mkuu sioni ukijibu nilikuinbox kujua bei yako lakn naona kimya mkuu
  12. LOTTI masai

    Natafuta mbolea ya kuku

    Nashukuru wakuu kwa concern yenu me npo chanika ndipo lilipo eneo nalotaka kutumia mbolea nahisi huyu bwan wa mombasa anaweza kua jirani angalau.Nime kuinbox mkuu
  13. LOTTI masai

    Natafuta mbolea ya kuku

    Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea
  14. LOTTI masai

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Tukiungana itakua vizuri zaidi mkuu
  15. LOTTI masai

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    kwa mfano hapa dsm tulioweza kutambuana na kukutanatupo wawili mimi na mbepo myamba yy yupo knyama mm npo tbt so whenever tunapotembeleana tunashare uzoefu, namna ya kupata mkaa bora,masoko,kupeana moyo na mengneyo.Mthalan saivi mimi nina soko wanataka sample ila kwa vile production yangu bado...
Back
Top Bottom