Natafuta kazi ya part time kama mkufunzi

LOTTI masai

Member
Aug 28, 2014
40
0
Mimi ni mkufunzi katika mojawapo ya vyuo vya serikali kilichopo hapa dar es salaam.lakini napenda kutafuta opportunity zaidi kwa sabb mishahara haitoshi na haitoshi kupata msingi hata wa kuanzisha kabiashara.Naomba nafasi ya kufundisha masomo ya social sciences ikiwemo communication skills,research methodologies nk.Malipo ni makubaliani tu
 

waits

Member
Sep 2, 2014
38
95
duh maisha haya utata mtupu,,, mwalimu si utaacha kabisa kutufundisha ukipata kazi nyingine ya ziada?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom