QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
Kama we mtu wa mademu sana jiandae Kupiga nyeto ..
Kwa sababu ni kazi yakutumia nguvu kuliko akili kwa hiyo jiandae kimwili zaidi...
Heheh wakushine upo ?
Hakuna depo la kuogopa dogo! depo unaenda na pass ya kunyooshea nguo? uko ni urembo urembo tu na kufukuzana bila sababu
ndugu yangu umenifanya nicheke saana asubuhi hii,eti depo unaenda pasi ya kunyooshea nfuo...
Mi nilikuwa huko miaka kama 10 nikitumikia jeshi. Nilichokiona na kibaya hasa kwa makuruta though si wote wengi wao ni sawa na genge la wahalifu. Yaani walioshindwa life mtaani. Mzizi wa jeshi la polisi kuwa na mtazamo hasi toka kwa jamii ni hapa.
Mafunzo yanayotolewa ni mazuri sana na wala sijutii kwa nini nilijiunga na na jeshi hilo japo nilikuja jiondoa kwa sababu nyingine kabisa. Sasa nije ktk mafunzo yenyewe; kwanza haya ni mafunzo maalum kuyajua kabla haikusaidii kitu kwa kuwa kila kuruta ana tabia zake za asili.
Pili heshima iwe ni zaidi ya mia mia bila kujali kama ni ya uoga au kwa mujibu wa taratibu. Hii ni muhimu sana kwani mara nyingi hii huwa sababu ya wengi kukimbia mafunzo (hata kukimbia pia iwe kwa siri la sivyo nao ni msala).
Heshima hiyo ni juu ya
Kuwa msafi muda wote na hasa master parade la kila siku asubuhi baada ya mchakmchaka wa saa tisa. Sasa wee uendelee kulala wakati buruji limepulizwá. Utajuta ukikutwa. (hapa namkumbuka sana afande mikwara ambaye kwa sasa hayupo tena ccp ila nina uhakika taarifa zake mtazipata tu).
Uvumilivu utasaidia kuondoka na unyeke (utaulizia unyeke ni nini ukifika ccp kisha utanijulisha) hapo ccp. Hapa pana mchakamchaka wa saa tisa usiku ukizingatia kulala ni saa nne usiku. Pili pana gwaride la kutosha kuujenga mwili. Ukiwa goigoi hapa wee utakuwa mtu ea kukaba siki kila siku na hili linaweza kukudababishia tifu siku noja na hasa ukimkuta afande asiyeelewaelewa. Kaulize pia haya maneno yanamaanisha nini. Gwaride linapigwa uwanja wa damu (nadhani uliitwa hivi kutokana na shughuli yake kuwa pevu. Sikuwahi kuambiwa kwa nini uliitwa hivyo). Ukubwawake ni wastani wa kama viwanja 10 - 12 vya soka.
Nakumbuka zilikuwepo kombania nne: A, B, C na kombania kuu. Usiombe ukapangiwa kombania ya maafande wanoko. Unaweza kukimbia depo.
Mambo ya kusimamisha minazi acha kabisa. Wee vhukua kufuli funga kwani kuna mawili. Utafukuzwa au utagongana na virusi. Haijslishi kama wote mmepima na kukutwa wazima. Ukumbuke kuna maafande nao huwagonga makuruta wa kike.
Kea mengi zaidi au part two utapewa baada ya mafunzo uyapate ya huku mtaani
The Listener
Ex Detective
daaah umempa lonja za nguvu yeye aende tu kila kitu atakijua huko maadam amrfungua moyo acha aende by the way hongera bana kumbe ulikua CID safi sana so umebobea kwenye epstionage safi sana chief