Nahitaji Mbolea ya Kuku

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Wadau,

Nahitaji mbolea ya kuku, preferably ile ambayo imeoza (imekaa muda mrefu baada ya banda kusafishwa).

Nipo Dar.

Kama mbolea ipo maeneo ya kama unatoka nje ya Dar kama vile Mbagala, Kongowe, Vikindu, etc itakuwa vyema zaidi maana shamba langu lipo huko.

Kama unayo tafadhani ni PM.
 
Wadau,Nahitaji mbolea ya kuku, preferably ile ambayo imeoza (imekaa muda mrefu baada ya banda kusafishwa).Nipo Dar.Kama mbolea ipo maeneo ya kama unatoka nje ya Dar kama vile Mbagala, Kongowe, Vikindu, etc itakuwa vyema zaidi maana shamba langu lipo huko.Kama unayo tafadhani ni PM.
Mkuu ingawq post ya mudarefu ioa nina shida kamq hii uliokua nayo ww je ulifanikiwq kupata mboleq ya kuku?me npo chanika natafuta mbolea ya kuku
 
Back
Top Bottom