Recent content by LOTIMA

  1. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya kikao maalum leo na Mawaziri, Makatibu, MaRCs, MaRAS na TRA

    Mzee una akili nyingi sana. Hapa umemaliza kila kitu. Naamini TISS wapo humu wachukue bandiko hili na kumpelekea mzee, kama anashaurika basi hili litakuwa njia pekee ya ukombozi wetu wa kiuchumi.
  2. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Points tatu muhimu sanaa. Go go go chelsea Fc.
  3. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania SAKATA LA MADINI: Karamagi ahoji, nisaidie nini ?

    Swali linajibiwa kwa swali je kina sheria inayokataza kusign mkataba ukiwa hotelini? Wakati unadhamana na mamlaka ya kufanya hivyo?
  4. LOTIMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndio Ndio Ndio Ndio maanaeNejwil Ejsss.wee
  5. LOTIMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Elder eco ecsveeewes eede E. The The eb
  6. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa umma kulipwa hazina kupitia BoT

    Nakupongeza umenena vyema sana.
  7. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

    Kunataarifa zinasambaa kaamba tarehe 6/5/2017 atakutana na kuzungumza na baadhi ya wanachama wa jumuiya ya ccm ya vyuo vikuu nyumbani kwake. Waandishi wa habari nao wamealikwa.
  8. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

    Mkuu umenilisha chakula kitamu sana. Nikupe moyo uzidi kutupa afya ya akili kama hivi.
  9. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa vitabu vizuri vya kujifunzia kingereza

    Zipo nyingi sana ila hebu jaribu app inaitwa English grammar in nzuri kwasababu inafundisha tense...vocabulary... Nk pia unaweza kujifunza kwa video fupi fupi jinsi ya kutumia maneno ya kingereza nk.
  10. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa vitabu vizuri vya kujifunzia kingereza

    Kuna app nzuri sana za kujifunza kingereza. Kitu cha kufanya kama umatumia simu hizi za kisasa huwa wanaziita smartphone fungua app store na download app ya kujifunza kingereza no nzuri kuliko hata vitabu.
  11. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

    Mbona unatokwa povu? Kazomewa sehemu gani na muda gani...nenda kachukue buku 7 yako lumumba.
  12. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania James Lembeli auza jimbo la Kahama Mjini kwa Kishimba wa CCM

    Hebu tutolee uchurp wako hapa.
  13. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Jimbo la mtama mambo yalikuwa hivi

    Mmmu wamekwisha mwaka huu...kati ya majimbo ambayo ukawa wamesha jihakikishia mojawapo ni hili jimbo ka mtama hili limeenda asubuhi na mapema.
  14. LOTIMA

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    mafuriko haya epukiki, hongera sana wanambeya kwa mapokezi mazito ya raisi wa awamu ya tano Mh. ENL:majani7:
Back
Top Bottom