Recent content by lost

  1. L

    Wimbo wa Bahati Bukuku ''DUNIA HAINA HURUMA''

    Daud alipopokea sanduku la bwana yerusalem alichezaje??nguo zilimfanyaje??je aliyemdharau daud kwa kucheza kma chizi mbele za bwana alifanywaje?? Furaha iliyopitiliza ina mpangilio maalum kuionyesha???
  2. L

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Unapigwa nao na banyamulenge weee ....lione hata aibu mbele za mungu huna ??kipi uteteacho kuhusu unyanuasaji wafanyiao kina babu seya ?????gamba mkuu wewe na mtetee hta shetan coz nyi ni mashetan pia watu wa mtazamo huu !!!kaa kimya usilete ungese hpa kma...
  3. L

    Serikali ya CCM haina shukrani kwa shirika la World Vision

    Yeah !!nakupa mia coz nafanya huko til now ....mapendekezo yangu kwa serikali ni kwamba shirika hili lifungwe au liwe linafanyiwa auditing na serikali !!mabilion yanaishia ktk semina hewa na zisizo na tija then wanatumia mwavuli wa dini kujiita wapendwa ktk...
  4. L

    Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

    Nami ni pm mkuu usisahau phone number !!!!
  5. L

    Uwekezaji Kwenye Mafuta na Gesi - Gharama Ziko Ndani ya Uwezo Wetu...

    Hey !! .tupe data bajet ya tz 2013-2014 ni sh ngap ??
  6. L

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    mkuu wapaswa upate tution kuhusu inflation rate ,currency exchange rate , demand and supply pamoja na goverment fiscal policy ......ukijua hayo mambo na jinsi yanavyohusiana na vipimo vya kukua au kuyumba kiuchumi then utaelewa kwa nn Nyerere aliondoka...
  7. L

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Nakushangaa sana unaposema Kifupi tu- Nyerere aliongoza na kuacha nchi na inflation ya chini ya asilimia 5. Wazungu waliona Tsh ni very strong currency .... oi !!oi!! hapo umenigusa mhasibu kuhusu currency stability and inflation .je wajua visababish vya inflation na currency...
  8. L

    SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    we mbwiga unaujua wastan wa mzumbe au unakurupuka tu ???nimesoma mzumbe 2005 wastan ulikuwa ni 50% na ndo wajuu kwa vyuo vya bongo pind izo . je wa sua ni ngap ???wacha kujijaza ujinga ......kma msul ni mzumbe baf tofaut na hpo kazana kukata ng'ombe mitama...
  9. L

    Tanzania na Burundi zatengwa rasmi East Africa community

    ah!! by da way wakenya na .waganda hawatupendi wabongo from their heart !!we better stick on our own... but bila uongoz wa kijanja bongo watatusumbua sana !!ashitakiwe kenyata but wametushawish 2gomee mkutano wa common wealth na tumekubari . ......means they...
  10. L

    Kazi ya kusaka Mabilioni nje yaanza: Rostam, Mbowe, Ngeleja wahojiwa!

    nyi maku .....maa tulizen miku .....nduuuu !!!!ock ??? then mtamsoma mbowe mabongo lala nyi mnadhan anachafulika kirahis ???? mfanyabiashara kitambo unashangaa kuwa na nyumba dubai ???unajua historia ya ukoo wao we ----- ????je alishawah kuwa kiongoz wa umma...
  11. L

    Katiba kicheko vyama vyote

    hiki ndicho tukipendacho watanzania mshikamane ktk mambo ya kitaifa !!!big up kikwete naomba fanya na babu seya atoke basi .kaz kwenu wabunge wa ccm mliojivunia wingi wenu bungen kupitisha kasoro za kuliangamiza taifa !!!jk uko juu sana na dhamira yko ya kwel ya...
  12. L

    Baada ya Rais Nyerere sasa tunamsubiri rais wa CHADEMA 2015

    we mkuda mbowe mfanyabiashara mkubwa kitambo nyerere analijua hilo so usishoboke na pene zake ....kikwete ana biashara gan ??iweje mwanae leo amiliki biashara kubwa nchin baada ya dingi kuwa rais ??nyi ma bongolala sijui mtaficha wap makalio yenu ifikapo 2015...
  13. L

    Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

    haswaa!!! we ndo wasema mama na kumheshimu but ukwel anao babako coz ni kimanz chake kitambo ajua walivyoungishana kabla ya kustaafu na kuoana !!ni kwel wote wanajiuza but ktk nyakat tofauti joh !!!!!
  14. L

    hizi ndio sababu zinazofanya hiphop isiuze bongo

    wee acha ushamba angalia tuzo za bet mton then ndo umlaumu joh makin kwa kupiga mlegezo .sipotez mda wangu ktk nyuz ya kishamba kma hii coz muanzishaj ni boya na hajui hiphop ni kitu gan but anakurupuka tu akijua nyuz itapata post kibao !!!!fanya yko achana...
  15. L

    Harambee za Lowassa zinakera

    ishu sio kuchangia isipokuwa ni mazingira ya uchangiaji .huyu lowasa ndo yule tuliempenda sana pindi wazir mkuu coz alikuwa mchapakaz haswaa !!!then zito jembe la ukwel akatuangaza namna lowasa na richmond yke alivyokuwa akila mil 152 kila siku ya mungu kutoka...
Back
Top Bottom