Recent content by lorenzo mello

  1. L

    Bosi anataka kunifukuza kazi chanzo ni mkewe, mniombee

    Waheshimiwa nawasalimu, Miaka kama 7 iliyopita hapa kazini kwetu nilikua na uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja ambae ndo tulikua tumeajiriwa pamoja fresh from school tukajikuta tumekua wapenzi kutokana na ukaribu wa kazi.Toka nimeanza mapenzi huyu ndo binti niliempenda sana, maana ni mzuri...
  2. L

    Mke wangu analazimisha kufanya biashara za Uarabuni, nimruhusu?

    Wakuu nawasalimu, Mke wangu alipata matatizo ya kikazi miaka miwili iliyopita, kwa kifupi alipoteza kazi yake kutokana na makosa ya kiutendaji katika kushauriana ndani tukafikia maamuzi kwamba nimtafutie mtaji afanye biashara, nimehangaika sana kwa takribani miaka hiyo miwili na nimepata 25...
  3. L

    Dawa ya UKAWA ni lowassa peke yake.

    Ni kweli kabisa
  4. L

    Kadinda atoa wanawake udenda

    Huyu si ndo yule jamaa ambae uanaume wake una mashaka mengi? Au nimechanganya!!
  5. L

    Nkurunziza agoma kuhudhuria kikao Tanzania, yasimkute tena

    Sijui mkururunzinza amekula maharage ya wapi?
  6. L

    Biriani ya Samaki

    I see pole
  7. L

    Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

    Jana nilikua na mke wako machi machi g house anakatika sijawahi ona
  8. L

    Niombe Talaka?

    Kazi ipo hapa
  9. L

    Dunia ina mambo

    Hawa mademu ni balaa
Back
Top Bottom