gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
kumbe unaweza kumbadilishe mwanaume!!
Nakubali kuwa ukimshamzoesha huyo mwanaume lifestyle fulani usitegemee atabadilika. Kwahiyo kama unasema ni kosa lake mleta mada kuwa hasaidiwi na mwanaune wake sawa.
Lakini ni kosa si la kimaadili tu hata kisheria mwanaume kutohudumia watoto.
Lakini maneno ya kuwa ni nature ya mwanaume kuwa mbinafsi na kutomjali mwanamke wake na kumfananisha na majogoo yatapingwa.
Mandhari imebadilika. Iite kibarbarita lakini ukubali mambo yamebadilika. Na kuhusu wanaume kulea watoto, yamebadilika for the best.
Hizo sheria zenu nyingii na kuanza kutaka zi apply kwenye maisha ya ndoa ndo zinazo waponza
uliza kwa wazazi wako, zipo approach za kutumia na ndo mana nikamwambia aache kulia lia atumie silaha za kike kama hazijui aje nimhabarishe
haya ya kusema mnataka mashindano mtaish miaka 900 mitaka ayo mabadiliko na hamtayapata
wote walioyoyataka wamekuwa loosers na tunawajua hata ka majina
sometimes ukimya ni jibu pia.
Kama umemsoma bi dada vzr mdomo wake ndo unao mpa nafasi ya kuchezea kipigo