Dunia ina mambo

Dunia ina mambo

Kanisave "wa hovyo" ila kwa kuwa ni kabinti ka kihindi nimetulia tu na mambo yanaenda tu1
 
Habari wana MMU,
Kwa mara ya kwanza nimeona mchepuko kani save 'Ahsante' sijashangaa sana si unajua weekend bhana kaacha simu kaenda washroom nikambeep naona ahsante!!
Wewe wako amekusave vp!?? Hata sijui ana maana gani!? Ila malaya malaya tu!😄

Acha umbea,jali yako tu
 
Mm hajanisave anadai anaijua number yangu kwa kichwaa,,,, NAIBIWA MCHANA NINI😉
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom