Recent content by Lord K

  1. Lord K

    JamiiForums Tanzania NSSF Hifadhi House..Acheni ubabaishaji

    Kiukweli jamaa wanazingua...halafu wafanyakazi wa NSSF wanakujakuja na kujichekesha then wanaondoka...sijui ofisini kwao wanaaga kwamba wanaenda wapi na kufanya nini? mnajidhalilisha
  2. Lord K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara za kasi

    Ni kero baada ya kero..sijui kwanini hawajengi usiku..wanajenga baada ya muda wanabomoa...wanavunja wanaacha vumbi wanaondoka...kiukweli watumiaji wa morogoro rd ni kero sio kidogo...
  3. Lord K

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Hahahahaaaaaa...duh Back to topic pls
  4. Lord K

    JamiiForums Tanzania Ghorofa la makazi karibu na Ikulu

    Hivi waungwana lile sakata la ghorofa lililozua sekeseke pale karibu na Ikulu ndo limefikia wapi? au ni la haohao wa KIJANi ndo maana limepozeshwa... kweli tanzania haina sera inaongozwa na matukio
  5. Lord K

    JamiiForums Tanzania Pinda na kinga ya Bunge, Je vipi kwa Lema na wengine wanaoburuzwa Mahakamani?

    Alichokisema Ndugai ndomsimamo wa sheria hata kama siyo haki.
  6. Lord K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa tu

    Hivi lile jengo lililobaki na ufa pale mtaa wa Indira Ghandi tuliloambiwa litabomolewa baada ya kuporomoka kwa lile la ghorofa 16 na kuua Watanzania zaidi ya 30 ...hili sakata liliishia wapi? Nawasilisha..
  7. Lord K

    JamiiForums Tanzania Tarimba Abass Tarimba...........

    Ni mteule wa rais kama walivyo wateule wengine na infact jamaa ana shule ya kutosha sana ...kuhusu urais yanga na udiwani kinondoni sidhani kama hiyo ni hoja maana sioni msing wake. Bodi hii inasimamia michezo yote ya kubahatisha kuanzia inayoendeshwa na makasino,makampuni ya simu,magazeti...
  8. Lord K

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Waziri mtendaji wa serikali kufariki hivi karibuni (Tumwombee isije kutokea)

    Sipati picha siku ukiota wamekulawiti...
  9. Lord K

    JamiiForums Tanzania CRDB Azikiwe Premier kwahili mmezidi

    Mimi ni moja ya wateja wa hii bank kwa muda kidogo, lakini hiki kitabia cha kuacha teller mmoja kati ya saba kuhudumia wateja waliojazana kwenye hall naona kama umekuwa ni utaratibu wao wa kazi wa kila siku sasa....ninachotaka kuhoji hapa hivi kuna cusomer care manager anayelipwa mshahara humu...
  10. Lord K

    JamiiForums Tanzania Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

    Wameifia Tanzania?labda useme wameifia dunia..
  11. Lord K

    JamiiForums Tanzania Ninampenda sana, lakini hajawahi kuniambia "nina hamu na wewe"

    nimependa hapo kwenye Red.
  12. Lord K

    JamiiForums Tanzania Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

    duuuuh....jamaa wa watu maskini....kashajua anaoa kumbe hajapendwa.
  13. Lord K

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kumsaliti mke wangu

    Ajabu!!! mi nikiwa na mkewangu ndo nafanya vizuri sana sababu tumezoeana, kiasi kwamba kwingine sitamani kabisa.
  14. Lord K

    JamiiForums Tanzania penzi la shemeji

    nimependa hapo kwenye red
  15. Lord K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

    Mdanganye mwenzio....Shtuka jembe kuna kiwavi jeshi kwenye ndoa yako.
Back
Top Bottom