Mbona wake za watu wanamegwa hivi siku hizi? Ni nini hiki
mh...yaelekea ulivyozindua siku hukuzindua kisawasawa mkuu..........
Hivi mkwe ukikomaa na mtu si anaahirisha tu? Unadhani ataacha? Kujitia stress tu aisee.siku hizi na simu mtu anapokea yuko kwenye kinena cha mwingine, sauti ya chiniii 'niko kikaoni nakupigia in 30mins', anakata kabla haujajibu.
mimi nitajuaje labda waume zao watuambie hapa hawawamegi vizuri au ni nini shida?hata sijui tatizo ni nini,,,hebu tusaidie jibu smile
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??
mimi nitajuaje labda waume zao watuambie hapa hawawamegi vizuri au ni nini shida?
Baby jamani ndio umekuja kunianika huku? Nilikuwa nakuandalia wewe tu honey wangu, hakuna mwingine zaidi yako, enjoy peke yako! lol!
Msivunje ndoa ya mwenzenu,Huyo mkeo kafundwa huyo hizo ni mbinu tu za kukuweka sawa na Amekupima tu mapenzi yako yako levo gani? c hapo mko wote nyumbani hiyo ndio burudani kwake!
Ww leo kula mzigo na hizo shanga zake asivue, mpaka aseme kikwao maana alikuwa anakudharau isimamie kwa vidole km unaendesha baiskel Phoenix ya mchina.Actually kama alikuwa ananitest basi majibu niliyopata jf Leo yamemponza. Ntakamua leo mpaka mmoja wetu afaint!!!!
Hayatuhusu. This is your private life.Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??