Hivi waungwana lile sakata la ghorofa lililozua sekeseke pale karibu na Ikulu ndo limefikia wapi? au ni la haohao wa KIJANi ndo maana limepozeshwa...
kweli tanzania haina sera inaongozwa na matukio
Watu wa Usalama wanatumia ghorofa 4 za mwanzo toka juu ya jengo hilo, chini ndio flats wameuziwa watu wengine, mimi nadhani ni suluhu nzuri tu.
Watu wa Usalama wanatumia ghorofa 4 za mwanzo toka juu ya jengo hilo, chini ndio flats wameuziwa watu wengine, mimi nadhani ni suluhu nzuri tu.