Wazungu siku kwao inaanza midnight ndio maana huanza kuhesabu saa 00 ikifika saa sita usiku. saa saba ya usiku kwao ndio ina count kama 1hr, yani siku ndio imeanza hapo. Sisi waswahili siku inaanza kukipambazuka, ndio maana tunaanza kuhesabu saa1 asubuh. Wala hamna mambo ya 666 hapo. Sabato ni...
ukiyumba lazima uambiwe la sivyo haya maandishi yako andikia chumbani usiyalete humu kama hutaki kukosolewa, mtu akikukosoa unarukia kumwambia ni mpumbavu mara mjinga,
Sent using Jamii Forums mobile app
anajitetea eti ni aina yake ya uandishi, wakat hoja husika haiihitaji mzaha! mtu kapigwa mpaka kufa afu we unaleta masihara? haya ndo mambo ya kuomba selfie msiban
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.