Tumedanganywa sana, sasa tubadilike

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
805
810
Habari WanaJf Twende Moja Kwa Moja Kwenye Kujifunua Macho

TUMEDANGANYWA SANA:
Siyo kwa ubaya,lakini binafsi huwaga najitenga mara nyingine alafu najiuliza maswali magumu ambayo mengine nakosa kabisa majibu.

Nimeona tukijitesa bila sababu,kwa kuendana na maisha,imani,mawazo na maamuzi ya watu wengine.Ndo maana nasema tumedanganywa na tukakubali kudanganyika sana.Ebu yatafakari haya:

Nani alituamulia kwamba kula ni mara mbili kwa siku?Kwanini hatukuamua wenyewe wafrika kwamba kwetu sisi hata mlo moja inatosha?

Nani alituamulia kuwa mwisho wa masomo ni chuo kikuu,na kustaafu ni miaka 60?Kwa nini sisi wafrika hatujaamua kwenda tofauti na wao?

Nani alituamulia kwamba mwaka ina miezi 12 na miezi hiyo hailingani urefu,eti inaishia siku 28,29,30 na 31??Kwa nini sisi tusingekuwa na idadi ya miezi yetu kulingana na mwezi inavyo andama?

Eti siku ina masaa 24(2+4=6)Alafu wakatulazimu kutii 666 kwa kuiweka katikati ya mchana,na katikati ya usiku?Na kuifanya 666 kututawala kwa kuzingatia namba yake kuitawala nyakati zetu....subiri niwaonyeshe kwa mifano hai kabisa:

Walianzia kwenye tafasiri ambako tumepigwa bila wasomi kuhoji maswali,kuna siri gani humu kwenye kuhesabu mida/saa?Ebu yatafakari haya aisee:

1(Moja/One),2(Mbili/Two),3(Tatu/Three),4(Nne/Four),n.k.Sasa ikija kwenye muda/saa,inakwenda tofauti,eti saa 1,ni 7 Oclock,saa 2 ni 8 Oclock,saa 3 ni 9 Oclock...n k.Umewahi kujiuliza ni nini?Angalia, 7 Oclock ukitoa 1=6. Saa 1(asubuhi au usiku),ni 7 O'clock, maanake ni mizunguko saba ya dunia...ila hiyo 7-1=6! Saa 2 ni 8 O'clock,8-2=6
Saa 10 ni 4 O'clock,10-4=6!...jaribu hesabu hiyo kwa saa yoyote utaona zote = 6!

Na jee unafahamu kwamba hata kwenye siku za wiki tumedanganywa na kupigwa nako vibaya sana?Sasa kama Jumamosi(1) ni Saturday, Jumapili(2) ni Sunday, Jumatatu(3) ni Monday, Jumanne(4) ni Tuesday na Jumatano(5) ni Wednesday, kwanini Thursday siyo Jumasita(6)alafu Friday ikawa ni Jumasaba(7) au Sabato?Kwa nini kwanzia Thursday jina la siku likabadilika na kuitwa Alhamisi? Hakika kuna sehem tunadanganywa baado.

Na kama Sabato ni Jumamosi,kwa nini iitwe jumamosi na siyo Jumasaba(7)?

Usiishi kwa vipimo vya duniani,ishi maisha yako kwa vipimo vyako,kwa ubora wako,shindana nawewe mwenyewe usishindane na watu,jitahidi kumpendeza muumba wako,muheshimu Mungu kwa njia zote,kadri uwezavyo, tenda mema siku zote kwa wenzio,usimuonee mtu yoyote,wapende watu,wasaidie panapowezekana,usimnyanyase binadam mwenzio,na MUNGU ATAKULINDA SIKU ZOTE NA KUKUBARIKI.

Kwa hiyo tunamalizaje changamoto zetu za ujinga,umasikini magonjwa,ufisadi ,mimba za utotoni ,ubinafsi, conectionism na miundo mbinu mibovu!???
 
Na jee unafahamu kwamba hata kwenye siku za wiki tumedanganywa na kupigwa nako vibaya sana?Sasa kama Jumamosi(1) ni Saturday,Jumapili(2) ni Sunday,Jumatatu(3) ni Monday,Jumanne(4) ni Tuesday na Jumatano(5) ni Wednesday,kwa nini Thursday siyo Jumasita(6)alafu Friday ikawa ni Jumasaba(7) au Sabato?Kwa nini kwanzia Thursday jina la siku likabadilika na kuitwa Alhamisi?Hakika kuna sehem tunadanganywa baado.

Na kama Sabato ni Jumamosi,kwa nini iitwe jumamosi na siyo Jumasaba(7)?

Usiishi kwa vipimo vya duniani,ishi maisha yako kwa vipimo vyako,kwa ubora wako,shindana nawewe mwenyewe usishindane na watu,jitahidi kumpendeza muumba wako,muheshimu Mungu kwa njia zote,kadri uwezavyo,tenda mema siku zote kwa wenzio,usimuonee mtu yoyote,wapende watu,wasaidie panapowezekana,usimnyanyase binadam mwenzio,na MUNGU ATAKULINDA SIKU ZOTE NA KUKUBARIKI.

Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
Mchawi wa kusini, una points muhimu.

Wewe ni mchawi, kwanini tusitumie uchawi wetu kuleta maendeleo ya sayansi, technologia?
 
Habari WanaJf Twende Moja Kwa Moja Kwenye Kujifunua Macho

TUMEDANGANYWA SANA:
Siyo kwa ubaya,lakini binafsi huwaga najitenga mara nyingine alafu najiuliza maswali magumu ambayo mengine nakosa kabisa majibu.

Nimeona tukijitesa bila sababu,kwa kuendana na maisha,imani,mawazo na maamuzi ya watu wengine.Ndo maana nasema tumedanganywa na tukakubali kudanganyika sana.Ebu yatafakari haya:

Nani alituamulia kwamba kula ni mara mbili kwa siku?Kwanini hatukuamua wenyewe wafrika kwamba kwetu sisi hata mlo moja inatosha?

Nani alituamulia kuwa mwisho wa masomo ni chuo kikuu,na kustaafu ni miaka 60?Kwa nini sisi wafrika hatujaamua kwenda tofauti na wao?

Nani alituamulia kwamba mwaka ina miezi 12 na miezi hiyo hailingani urefu,eti inaishia siku 28,29,30 na 31??Kwa nini sisi tusingekuwa na idadi ya miezi yetu kulingana na mwezi inavyo andama?

Eti siku ina masaa 24(2+4=6)Alafu wakatulazimu kutii 666 kwa kuiweka katikati ya mchana,na katikati ya usiku?Na kuifanya 666 kututawala kwa kuzingatia namba yake kuitawala nyakati zetu....subiri niwaonyeshe kwa mifano hai kabisa:

Walianzia kwenye tafasiri ambako tumepigwa bila wasomi kuhoji maswali,kuna siri gani humu kwenye kuhesabu mida/saa?Ebu yatafakari haya aisee:

1(Moja/One),2(Mbili/Two),3(Tatu/Three),4(Nne/Four),n.k.Sasa ikija kwenye muda/saa,inakwenda tofauti,eti saa 1,ni 7 Oclock,saa 2 ni 8 Oclock,saa 3 ni 9 Oclock...n k.Umewahi kujiuliza ni nini?Angalia, 7 Oclock ukitoa 1=6. Saa 1(asubuhi au usiku),ni 7 O'clock, maanake ni mizunguko saba ya dunia...ila hiyo 7-1=6! Saa 2 ni 8 O'clock,8-2=6
Saa 10 ni 4 O'clock,10-4=6!...jaribu hesabu hiyo kwa saa yoyote utaona zote = 6!

Na jee unafahamu kwamba hata kwenye siku za wiki tumedanganywa na kupigwa nako vibaya sana?Sasa kama Jumamosi(1) ni Saturday, Jumapili(2) ni Sunday, Jumatatu(3) ni Monday, Jumanne(4) ni Tuesday na Jumatano(5) ni Wednesday, kwanini Thursday siyo Jumasita(6)alafu Friday ikawa ni Jumasaba(7) au Sabato?Kwa nini kwanzia Thursday jina la siku likabadilika na kuitwa Alhamisi? Hakika kuna sehem tunadanganywa baado.

Na kama Sabato ni Jumamosi,kwa nini iitwe jumamosi na siyo Jumasaba(7)?

Usiishi kwa vipimo vya duniani,ishi maisha yako kwa vipimo vyako,kwa ubora wako,shindana nawewe mwenyewe usishindane na watu,jitahidi kumpendeza muumba wako,muheshimu Mungu kwa njia zote,kadri uwezavyo, tenda mema siku zote kwa wenzio,usimuonee mtu yoyote,wapende watu,wasaidie panapowezekana,usimnyanyase binadam mwenzio,na MUNGU ATAKULINDA SIKU ZOTE NA KUKUBARIKI.

Tafsiri halisi ya Demokrasia ni ipi, nini? Uhuru ni nini? Haki za kibinadamu ni zipi?

Demokrasia ni kuwapa, umeme, maji, kuzuia rushwa kwa wote, huduma nzuri za afya, elimu, barabara, mazingira mazuri ya biashara au ni kuruhusu ushoga, wachache wapige kelele wawe wabunge, mawaziri, Marais halafu wajilimbikizie mali, kodi za wananchi kwa familia zao na washikaji zao?
 
Turudi kwenye kusoma saa,alie kwambia saa 7(Saba)ni saa moja (1) Nani??maana navyokua kwa kingereza 7 ni seven o'clock..
 
Habari WanaJf Twende Moja Kwa Moja Kwenye Kujifunua Macho

TUMEDANGANYWA SANA:
Siyo kwa ubaya,lakini binafsi huwaga najitenga mara nyingine alafu najiuliza maswali magumu ambayo mengine nakosa kabisa majibu.

Nimeona tukijitesa bila sababu,kwa kuendana na maisha,imani,mawazo na maamuzi ya watu wengine.Ndo maana nasema tumedanganywa na tukakubali kudanganyika sana.Ebu yatafakari haya:

Nani alituamulia kwamba kula ni mara mbili kwa siku?Kwanini hatukuamua wenyewe wafrika kwamba kwetu sisi hata mlo moja inatosha?

Nani alituamulia kuwa mwisho wa masomo ni chuo kikuu,na kustaafu ni miaka 60?Kwa nini sisi wafrika hatujaamua kwenda tofauti na wao?

Nani alituamulia kwamba mwaka ina miezi 12 na miezi hiyo hailingani urefu,eti inaishia siku 28,29,30 na 31??Kwa nini sisi tusingekuwa na idadi ya miezi yetu kulingana na mwezi inavyo andama?

Eti siku ina masaa 24(2+4=6)Alafu wakatulazimu kutii 666 kwa kuiweka katikati ya mchana,na katikati ya usiku?Na kuifanya 666 kututawala kwa kuzingatia namba yake kuitawala nyakati zetu....subiri niwaonyeshe kwa mifano hai kabisa:

Walianzia kwenye tafasiri ambako tumepigwa bila wasomi kuhoji maswali,kuna siri gani humu kwenye kuhesabu mida/saa?Ebu yatafakari haya aisee:

1(Moja/One),2(Mbili/Two),3(Tatu/Three),4(Nne/Four),n.k.Sasa ikija kwenye muda/saa,inakwenda tofauti,eti saa 1,ni 7 Oclock,saa 2 ni 8 Oclock,saa 3 ni 9 Oclock...n k.Umewahi kujiuliza ni nini?Angalia, 7 Oclock ukitoa 1=6. Saa 1(asubuhi au usiku),ni 7 O'clock, maanake ni mizunguko saba ya dunia...ila hiyo 7-1=6! Saa 2 ni 8 O'clock,8-2=6
Saa 10 ni 4 O'clock,10-4=6!...jaribu hesabu hiyo kwa saa yoyote utaona zote = 6!

Na jee unafahamu kwamba hata kwenye siku za wiki tumedanganywa na kupigwa nako vibaya sana?Sasa kama Jumamosi(1) ni Saturday, Jumapili(2) ni Sunday, Jumatatu(3) ni Monday, Jumanne(4) ni Tuesday na Jumatano(5) ni Wednesday, kwanini Thursday siyo Jumasita(6)alafu Friday ikawa ni Jumasaba(7) au Sabato?Kwa nini kwanzia Thursday jina la siku likabadilika na kuitwa Alhamisi? Hakika kuna sehem tunadanganywa baado.

Na kama Sabato ni Jumamosi,kwa nini iitwe jumamosi na siyo Jumasaba(7)?

Usiishi kwa vipimo vya duniani,ishi maisha yako kwa vipimo vyako,kwa ubora wako,shindana nawewe mwenyewe usishindane na watu,jitahidi kumpendeza muumba wako,muheshimu Mungu kwa njia zote,kadri uwezavyo, tenda mema siku zote kwa wenzio,usimuonee mtu yoyote,wapende watu,wasaidie panapowezekana,usimnyanyase binadam mwenzio,na MUNGU ATAKULINDA SIKU ZOTE NA KUKUBARIKI.

Kuhusu saa, unajua siku huanza muda gani na inaandikwaje kwa mtindo wa masaa 24?

Bila shaka ni 00:00

Saa la kwanza likipita itakuwa ni 01:00

Saa la pili likipita utakuwa ni 02:00

Vivyo hivyo na kuendelea

Sasa uschanganyikiwe na mfumo wa masaa 12.

Habari ya 666 ni ujinga mmoja umekaa kwenye dini.

Pasipo kujua pia hujauandika hapa kuwa umedanganywa habari hizo.

Kuhusu miezi,
Ni sawa ukiamua kugeoup miez iwe hata 30,its up to you.

Lakini wenzio wameumiza kichwa hadi kuipata hiyo.

Wamejifunza mzunguko wa mwezi kuzunguka dunia unatumia siku ngapi ndo wakaja na hiyo ya siku 30.

Katika kutambua pia majira yanavyojirudia rudia, waliamua kujifunza majira hayo yanajirudia kila baada ya muda gani.

Waliweza kuelewa kabisa kuwa ni siku 365 na masaa6,

Yaani kwa mwaka mmoja, dunia inatumia siku 365 na masaa 6 kulizunguka jua.

Hivyo bhasi ukichukua baada ya miaka minne kwa hesabu hii utaelewa kuwa kutakuwa na siku moja mpya itakuwa imeongezeka kwasababu masaa 6 × 4 hapo unapata masaa 24
That is why kila baada ya miaka minne inabidi iongezeke siku moja ili kuweka hesabu vizuri.

Swali langu kwako

Kwanini unaandika habari za miungu wakati ni uongo pia? Hujui kama ulidanganywa hapo?
 
Nimeipenda hii
 
Habari WanaJf Twende Moja Kwa Moja Kwenye Kujifunua Macho

TUMEDANGANYWA SANA:
Siyo kwa ubaya,lakini binafsi huwaga najitenga mara nyingine alafu najiuliza maswali magumu ambayo mengine nakosa kabisa majibu.

Nimeona tukijitesa bila sababu,kwa kuendana na maisha,imani,mawazo na maamuzi ya watu wengine.Ndo maana nasema tumedanganywa na tukakubali kudanganyika sana.Ebu yatafakari haya:

Nani alituamulia kwamba kula ni mara mbili kwa siku?Kwanini hatukuamua wenyewe wafrika kwamba kwetu sisi hata mlo moja inatosha?

Nani alituamulia kuwa mwisho wa masomo ni chuo kikuu,na kustaafu ni miaka 60?Kwa nini sisi wafrika hatujaamua kwenda tofauti na wao?

Nani alituamulia kwamba mwaka ina miezi 12 na miezi hiyo hailingani urefu,eti inaishia siku 28,29,30 na 31??Kwa nini sisi tusingekuwa na idadi ya miezi yetu kulingana na mwezi inavyo andama?

Eti siku ina masaa 24(2+4=6)Alafu wakatulazimu kutii 666 kwa kuiweka katikati ya mchana,na katikati ya usiku?Na kuifanya 666 kututawala kwa kuzingatia namba yake kuitawala nyakati zetu....subiri niwaonyeshe kwa mifano hai kabisa:

Walianzia kwenye tafasiri ambako tumepigwa bila wasomi kuhoji maswali,kuna siri gani humu kwenye kuhesabu mida/saa?Ebu yatafakari haya aisee:

1(Moja/One),2(Mbili/Two),3(Tatu/Three),4(Nne/Four),n.k.Sasa ikija kwenye muda/saa,inakwenda tofauti,eti saa 1,ni 7 Oclock,saa 2 ni 8 Oclock,saa 3 ni 9 Oclock...n k.Umewahi kujiuliza ni nini?Angalia, 7 Oclock ukitoa 1=6. Saa 1(asubuhi au usiku),ni 7 O'clock, maanake ni mizunguko saba ya dunia...ila hiyo 7-1=6! Saa 2 ni 8 O'clock,8-2=6
Saa 10 ni 4 O'clock,10-4=6!...jaribu hesabu hiyo kwa saa yoyote utaona zote = 6!

Na jee unafahamu kwamba hata kwenye siku za wiki tumedanganywa na kupigwa nako vibaya sana?Sasa kama Jumamosi(1) ni Saturday, Jumapili(2) ni Sunday, Jumatatu(3) ni Monday, Jumanne(4) ni Tuesday na Jumatano(5) ni Wednesday, kwanini Thursday siyo Jumasita(6)alafu Friday ikawa ni Jumasaba(7) au Sabato?Kwa nini kwanzia Thursday jina la siku likabadilika na kuitwa Alhamisi? Hakika kuna sehem tunadanganywa baado.

Na kama Sabato ni Jumamosi,kwa nini iitwe jumamosi na siyo Jumasaba(7)?
emoji39.png
emoji1787.png
emoji3064.png

Usiishi kwa vipimo vya duniani,ishi maisha yako kwa vipimo vyako,kwa ubora wako,shindana nawewe mwenyewe usishindane na watu,jitahidi kumpendeza muumba wako,muheshimu Mungu kwa njia zote,kadri uwezavyo, tenda mema siku zote kwa wenzio,usimuonee mtu yoyote,wapende watu,wasaidie panapowezekana,usimnyanyase binadam mwenzio,na MUNGU ATAKULINDA SIKU ZOTE NA KUKUBARIKI.

emoji1545.png
emoji1545.png
[emoji1545

Wazungu siku kwao inaanza midnight ndio maana huanza kuhesabu saa 00 ikifika saa sita usiku. saa saba ya usiku kwao ndio ina count kama 1hr, yani siku ndio imeanza hapo. Sisi waswahili siku inaanza kukipambazuka, ndio maana tunaanza kuhesabu saa1 asubuh. Wala hamna mambo ya 666 hapo. Sabato ni neno la kiitaliano, maana yake ni siku ya mwisho wa juma. Kwa hiyo tumelitohoa huko. Mengine ni mfumo wa kidunia, assume kila mtu angekuwa na mifumo yake, yani kilo moja ya Tanzania iwe ni robo kilo ya sudan kusingekuwa na mlinganyo mzuri.
 
Then mtoa mada anatakiwa atambue kuwa, kalenda hii ni maarufu tu, ila siyo kila sehemu wanaitumia.

Yaani kwasababu mataifa makubwa yaliikubali ndo maana inaonekana kuwa kama kalenda ya dunia nzima.

Hata kwenye mambo ya umoja wa mataifa, kalenda inayokubalika zaidi ni hii ya pope Gregory (ambayo ni maboresho ya kalenda ya Julius Kaisari.)

Hivyo bhasi, zipo jamii hazitumii kalenda ya Gregory kabisa!!
 
Back
Top Bottom