Recent content by longnus

  1. L

    Udom, udom, udom. Hivi hii ni kweli?

    Vijana wakitanzania tumefikia hatua ya kuamini kila tunachoambiwa hata kama ni dhahiri unachoambiwa kuwa kina dalili zote za uongo. NDUGU YANGU UDOM INAWALIMU WA KUTOSHA NA HAKIKA KIMETOA FURSA KWA WAHADHIRI KUPIGA SHULE YA NGUVU KWA WADOGO WETU WA DIGRII YA KWANZA.VILEVILE KUHUSU SHAHADA YA...
  2. L

    Rwanda, kenya, uganda kutumia ID cards kusafiria na makubaliano ya single entry visa kwa watalii

    Tanzania ni zaidi ya kenya,uganda na mkoa wa rwanda. Tanzania itabaki kuwa tanzania na ni ya watanzania. Kwa upungufu wako wa akili wewe ndio umekua mwoga na sio tanzania. Vilevile hakuna uhusiano wa makubaliano hayo na ardhi yetu.
  3. L

    Taifa la wadokozi, wezi, wasaliti, wazushi, waongo kamwe haliwezi kusonga mbele kwa kauli za big res

    wewe sio msomi? kama ni msomi utuambie unafanyia sekta ipi tuje kuiga kwako hayo uliyoyaandika. Tatizo kubwa wasomi wengi WATAIFA hili ni matapeli wakubwa. Hawa wanasiasa wanafundishwa kuiba na ninyi mnaojiita WASOMI, mnajilipa mishahara mikubwa ili kujiweka tofauti, mnajilipa posho kubwa ili...
  4. L

    Ushauri kwa tuliowapa dhamana ya usalama wa Tanzania

    wewe inaonekana umesomea mitaani hiyo taaluma na acha kupotosha watu kwa kujifanya unafahamu masuala ya ulinzi. Upi weledi wako hapo? TATIZO WATU WENGI MNAONGOZWA NA HISIA BADALA YA UHALISIA. Pole sana.
  5. L

    Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

    Hakiki kila dalili zanaanza kujionesha kuwa vijana tumefikia ukingo wa kufikiri na tusubiri kufanyiwa uliberali kwa mtindo huu wa ubunifu mfu.
  6. L

    From Dowans to Symbion: Why the crusaders misled the nation by Editor the Guardian

    hizo mada zimejadiliwa sana hapa, Hivi sisi Watanzania tumelogwa na nini? Hivi hawa waandishi wahabari Makanjanja hawana la kuwahabarisha watanzania? Huu ni mwendelezo wa waandishi wahabari wa kutufanya tujadili upuuzi katika uleule mtindo wa kushabikia Obama amecheza ngoma za asili tukidhani...
  7. L

    Membe, Lowassa na Sitta wanaigawa CCM

    Kama Membe amewasaliti wamakonde wenzake, Je atatuthamini sisi watanganyika? Sitta ni mroho wa madaraka tena mwenye siasa za chuki. Nakumbuka Mke wake alipokamatwa anatoa rushwa, badala ya kuachia mahakama itoe hukumu, alitamka maneno ya jeuri wa vyombo vya sheria. Sitta hana mapenzi na...
  8. L

    2015 Matters a Lot!!!

    what else assure u that the electing new party will absolutely boost our people in all spheres of our life and that will have common accomplishment of national goal? i think u live in naive world.
  9. L

    Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    hivi unposema LOWASA NI jembe unamaana ni chombo kinachotumiwa na mtu/mwanadamu kulimia au kuchimbia. hivyo ni nyenzo tu ya mwanadamu. Hivyo nyenzo hiyo mwanadamu anaweza kuitumia kwa minajili mbalimbali na mara zote hutumika sehemu chafu (udongo). Kwa misingi hiyo zana hiyo ni Chafu...
  10. L

    Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    sisi vijana watanzania tunadhambi kubwa sana ya utumwa, tumekuwa watumwa wa fikra,watumwa wa utu,watumwa wa fedha ndio maana hata akitokea mpuuzi tu akatununulia pombe zile za kienyeji lita moja tu, au bia moja basi tutamshukuru huyo mtu kuwa ni mzuri,anauwezo na anafaa kukabidhiwa madaraka...
  11. L

    Dr. Mwakyembe anastahili kushtakiwa kama mhujumu uchumi

    hamna watu wanonikera hapa Tanzania kama vijana wenzangu, kwanza wanamazo ya kiliberali na hawana uwezo wa kuchambua hoja nzito na muhimu zinalohusu mustakabali wa Taifa letu. Kwa upumbavu wenu badala ya kujadili hoja ya mapendekezo ya yaliyotolewa na kamati ya Mwakyembe yalitekelezwa kwa...
  12. L

    Unafiki wa Sitta na Mwakyembe

    Mchango wa Sita ni kujenga office ya Spika Ulambo Tabora, Mwakyembe kuingiza Tanesco mkenge kuvunja mkataba na Dowans = fine 90 billion USD, Magufuli kubomoa petrol station, Mahakama kuu kuamuru sarikali ilipe zaidi ya Billion 20. Hiyo ndio baadhi ya michango yao kwa jamii KWA AKILI KAMA YA...
  13. L

    CHADEMA kama CCM

    ukitaka kuamini CHADEMA hamnazo hawa vijana wa CDM ni wezi na hawana dira wala mwelekeo.Hebu tafakari kama sasa bado hawajashika Nchi hawa vijana wanatembea na mihuri bandia ya CHAMA chao na kuitumia katika wizi au utapeli wa kuuzia kadi za CHADEMA je wakichukua nchi sio ndio itakuwa balaa...
  14. L

    Ujio wa Obama: Kashfa ya kupokwa ulinzi, vyombo vya habari vinavyoiona Tanzania

    Kweli Watanzania tunahitaji kujiangalia upya kama watanzania wazalendo, mm nimefuatilia kwa karibu coverage ya vyombo vyetu vya habari tangu kuwasili kwa Obama mpaka anaondoka kwa kweli hakuna kipya kilichoripotiwa kwa minajili ya kumfanya Mwananchi kuelewa nini hasa kimezungumzwa na viongozi...
  15. L

    Ukweli kuhusu Rwanda, watutsi, Paul Kagame na uchochezi wa mch. Mtikila

    uyu jamaa inaonyesha hajaeenda shule bali alikuwa anashinda msituni kupanga mauaji ya kimbari ya Rwanda na dikteta mwenzake Kagame maana hata historia tu imempiga chenga.Watanzania wenzangu msipoteze muda kujibizani na wauaji hawa labda tu tumwambie dharau zake aache mara moja eti uvamizi wa...
Back
Top Bottom