Recent content by Lonely me

  1. L

    JamiiForums Tanzania Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

    Na huku kahama sipaelewi hizi bei za chakula RB naambiwa 2500?? Siriusly
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwezi huu nimekataliwa na warembo 4 kwa sababu ya kuwa na nywele nyekundu

    Tatizo limeanzia kwenye huo.weupe wako pee
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Wanaume wa mitandaoni sio kabisa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa ajira mpya za Walimu na Afya. Hongera pia kwa Serikali ya Rais Samia

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dah Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mhhh sio kweli Computer ipo kwenye kila kozi Na kila faculty ina computer lab yake Mf. Mimi nilikuwa pale Soed nimesoma computer 2nd year. Labda kama ulisoma miaka ya zaman jomba Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi nilivyofanya interview kwenye taasisi fulani Walihitajika watu sita na tuliitwa 16 Kwenye placement wakaitwa wawili Lakini kuripoti kazini wameenda wote sita Na hao wanne haijulikani wametokea wapi! Sina tena imani nao kwa kweli Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jamani sio kwamba nafatilia status But ilikuw hivi post ilihitaji watu kumi wakaitwa sita na hiyo post haijawa re advertised Mimi nilikuwa na not selected mpaku few days ago ilikuwepo hyo not selected Ghafla jioni hii nmekuta selected for oral[emoji848][emoji848] Hii inamaanisha nini jamani...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi kuna mwenye not selected imebadilika na kuwa selected for oral?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawajua wasukuma au mnawasikia?

    Nawapenda hivyohivyo jamani
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi hawa utumishi Inakuwaje nafasi zilitangazwa 9 lakin placement wanatoa tatu?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Eti TA nao huwa wanawekwa kanzidata?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Daaah [emoji1751][emoji1751]
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii inasikitisha sana Eeh Mungu nufanye niwe wa kwanz kuitwa kwenye placement nikiwa na NOT SELECTED kwenye app.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole sana
Back
Top Bottom