Recent content by log10

  1. log10

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    Gari nzuri .. changamoto pekee Iko chini sana
  2. log10

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Nimekupata mkuu...
  3. log10

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Kwahiyo jamaa wamewekeza kwenye app Tu wanakula hiyo hela ...kweli mjini mipango
  4. log10

    JamiiForums Tanzania Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Kuna jamaa kule Twitter naona kacopy Kama ilivyo [emoji1787][emoji1787] bila hata kitana source..wakicopy makala zake anakuaga mkali Sana.. binadamu Sisi [emoji1787]
  5. log10

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata chimbo zuri la vitenge vya java?

    Mnazi mmoja
  6. log10

    JamiiForums Tanzania Taifa stars inamalizwa na Usimba na Uyanga.. Tff tupieni macho mapema kabla hali haijawa mbaya

    Sio fair kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. log10

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

    Vipi vitz mkuu
  8. log10

    JamiiForums Tanzania Clouds media na utapeli wa mchongo wa clouds kupitia kipindi cha 360

    Tatu mzuka staili
  9. log10

    JamiiForums Tanzania Usione watu hawa wapo hivi, hawajipendei

    Facts
  10. log10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Pumzika kwa amani binamu...ulitufurahisha sana...kuna ligi yako na matola na ile ya eiyer na khartaan...jf was amazing
  11. log10

    JamiiForums Tanzania Sabaya: Sikumbuki kushtakiwa kwa kujifanya Usalama wa Taifa

    Mzaha mzaha hivi hivi mtu anachomoka
  12. log10

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

    Kifupi hela unayoipata haitoshi kuishi maisha yako na kusave, sio kwamba huwezi kutunza hela. Mimi mwenyewe wale wale mkuu. Kuna mbinu yakutumia hela kabla hujaishika inasaidia sana atleast unakua hauna hela ila una move kimaisha.
  13. log10

    JamiiForums Tanzania East Africa's top companies in 2021 by market capitalisation

    Walevi hawapewi heshima wanayostahili nchi hii
  14. log10

    JamiiForums Tanzania Kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa?

    Mapogoro msimu wa kupanda balaa...ila wale washenzi muda wakurudi kwao hata nauli wanakuwa hawana..kazi yakushindana na mafogo kwenye kuhonga na kula biyaa
  15. log10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

    Very sad...poleni single mothers
Back
Top Bottom