Sababu ya mwisho ina mantiki Kubwan sana.
Chlamydia ni Bacteria ambaye huishi maeneo hayo. And then nahisi kuna kitu kitakuwa kinatrigger tbh.
Inawezekana ikawa pia ni Magonjwa yanayotengenezwa na Wazungu/Westerners especially kwenye bidhaa ambazo hutumia sana wanawake.
Kila kitu kimekuwa...
Habari wadau,
Kuna rafiki yangu anataka kuja kunitembelea kutoka Pakistan.Kaniomba invitation letter lakini sijui hata pa kuanzia kuna mwenye idea na hii issue?
Anadai kukata ticket mpaka uwe na invitation letter anakuja kwa ajili ya kutalii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.