2day
Senior Member
- Mar 2, 2017
- 168
- 129
NakuelewaPia nashindwa kuelewa kwa nini hawa TTCL wame-opt 3G na 4G wakaacha 2G, hadi sasa sielewi sababu za msingi za wao kutokuwa na 2nd generation. Simu ndogo huwezi access mtandao wao, ukibadilisha settings za network kwenye simu yako na kuweka line nyingine kutumia 4G Ile ya TTCL inakuwa kasha haina network.
Mkurugenzi wa TTCL ajitathmini coz hicho walichoamua hawatawafikia watu wa vijijini, lakini pia watalazimika kufunga 3G network systems nchi nzima(which is costly).