Nshafanya tafiti nahisi wapo vizuru kiasi chake.Kwahiyo TTCL ndio wana coverage kubwa mkuu?fanya utafiti kwanza kabla ya kutupa hiyo line,mtandao wao una boa sana hasa kwa sasa ambapo umekuwa very slow ukilinganisha na mwanzoni walipoanza ila kwa TTCL nina mashaka unaweza kuichoma moto hiyo line,hawa wana mikakati mizuri sana ila bado tuwape muda wajipange.
Issue ni hawalipwi vizuri.Halotel wamewekeza sana ila staffs, na wafanyakazi wengine wanaihujumu hii kampuni hadi inatia huruma. One day ntamtafuta Mkurugenzi mtendaji nimpe machache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, lkn huwa zinatunzwa kwa matumizi ya baadae. Kiukweli Tigo tangia walipoanza kupunguza mb na kuniunganisha kwenye vifurushi nisivyovitaka, nilikoma kuweka salio. Nina miezi miwili sasa sijaweka salio Tigo.wanajua laani zao hazitupwaji
Tigo customer care hamna bora TTCLMtandao pekee ninaouamini kwasasa ni airtel japo hawana 4G. Ila wanajitahidi pia hawana mbs za uongo kama halotel wala hawaibii watu vocha wasipojiunga kama tigo. Hata customer care wa airtel sio wabaya sana kama tigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo bado sana. Hatuna mtandao wa kutumainiwa ni kuvumilia tu.


