Recent content by Locked

  1. Locked

    JamiiForums Tanzania Mobile phone Hacking:

    naomba kujua app au software ambayo inauwezo wa hack simu(calls & messages) bila kuwa nayo physically.
  2. Locked

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    wapi ambapo hupajui mjomba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Locked

    JamiiForums Tanzania Vijana kutumia lugha zisizostahili(chafu/matusi) kama kiunganishi au kivumishi.

    Habari za hapa: karibu yangu kuna vijana wamefungua kijiwe chao cha boda boda na hii ni hatua nzuri kwani wameamua kujiajiri na ninawapongeza sana. Tatizo lao kubwa ni kwamba katika mazungumzo yao huwa wanatumia maneno makali sana.. Mwanzoni ilinipa shida na nilijaribu kuwashauri bila...
  4. Locked

    JamiiForums Tanzania Lema acha Siasa za kishamba za kumtisha Rais Magufuli na Mungu

    Umetokea jimbo gani?
  5. Locked

    JamiiForums Tanzania Semina za mwalimu Christopher Mwakasege

    Kama unahitaji kula nyama ni wewe kuchagua aina ya nyama ya kula na utashiba ama la kutegeana na ukubwa...Inategemea na kiwango utakachokula.
  6. Locked

    JamiiForums Tanzania Semina za mwalimu Christopher Mwakasege

    Anayo web. Yesu akamwambia "Lisha Kondoo Zangu" (Yohana 21:17)- MANA TANZANIA
  7. Locked

    JamiiForums Tanzania Semina za mwalimu Christopher Mwakasege

    Nadhani kuthread kwa ajili ya hayo mambo. Ila hapa itapendeze kama hatutapatumia kwa kazi hiyo.
  8. Locked

    JamiiForums Tanzania Semina za mwalimu Christopher Mwakasege

    Tunashukuru
  9. Locked

    JamiiForums Tanzania Semina za mwalimu Christopher Mwakasege

    Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu
  10. Locked

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mimi pia nautafuta huu wimbo
  11. Locked

    JamiiForums Tanzania Airtel Mnasumbua, Na Hakuna taarifa..!

    Ni kweli kuwa kuna huduma nzuri mnazitoa, Ila mnatakiwa kujua kuwa sisi ni wateja wenu na tunaweza kuwahama muda wowote, 1. Vifurushi vyenu vinasumbua ku- extend kama hamna huduma iyo ni bora mkaweka wazi ili tujue, kifurishi kinapoishi tusubiri hadi muda wa kuisha unapofika ndio tuunge tena...
  12. Locked

    JamiiForums Tanzania Rais mpe Tundu Lissu nafasi kwenye mazungumzo na Acacia

    Cha muhim ni katiba mpya na mikataba ya wazi ambayo kila mtanzania ataweza kusoma na kujua nyeupe ni ipi na nyeusi ni ipi. Ni hayo tu.
  13. Locked

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa hivi ndiyo nchi ngumu kufanya biashara

    Mimi sipo upande wowote kwa sababu mimi sio mfanyabiasha, Ila kwa upeo wangu hayo maono yako nadhani yapo kisiasa zaidi... Nilitegemea uje na facts za uchumi wa nchi kwanza, eneo ambalo unafanya biashara pia na aina ya biashara unayoifanya. Hapo ungenigusa. Otherwise chukua mda fanya...
  14. Locked

    JamiiForums Tanzania Romantic movies

    Me before you
  15. Locked

    JamiiForums Tanzania Weekend Throwback

    1. mume bwege - bushoke 2. Regina - steve 2k 3. Bizman - ametoroshwa 4. Kikulacho - mr. Nice 5. AY - yule
Back
Top Bottom