Rais mpe Tundu Lissu nafasi kwenye mazungumzo na Acacia

cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
661
1,000
Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..

1. Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..

2. Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.

3. Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae

Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
12,779
2,000
Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..

1.Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..

2.Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.

3.Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae

Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
Mshaona FURSA ya kupiga PESA kama alivyokuwa kaiona BAREGU kwenye Katiba MPYA ( Lissu alimtaka ajitoe Akagoma ) maana Lissu yeye ni PESA Mbele
 

lameckkawawa

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
932
1,000
Tatizo la kwetu kila kitu siasa ndiyo maana wazungu wanatuibia lissu naye anaweza akataa alishatoa mawazo yake endapo raisi akitaka kumchagua nafsi yoyote atadai katiba mpyaa kwanza
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,455
2,000
Itakuwa njema sana kwa demokrasia ya nchi yetu.Tatizo Lissu yuko kinyume na wakuu sasa hapo meza itakuwa na pande mbili au tatu??
Yuko na management ya accacia kwa hiyo unataka aingie awe anawapa siri za tume accacia? Elimu Ya sheria anayo ila uzalendo ni ziro. Huwezi weka mtu asiye na uzalendo kwa nchi yake hata kama anajua Sheria zote za madini duniani
 

cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
661
1,000
Yuko na management ya accacia kwa hiyo unataka aingie awe anawapa siri za tume accacia? Elimu Ya sheria anayo ila uzalendo ni ziro. Huwezi weka mtu asiye na uzalendo kwa nchi yake hata kama anajua Sheria zote za madini duniani
Unaoita wazalendo ndio waliosign mikataba ya kusafirisha mchanga, ndio walioshindwa kuhakiki kama kinachoondoka ndio sahihi, ndio walipitisha mikataba mibovu kwa hati ya dharura na kelele za ndio.au unazungumzia uzalendo upi mkuu
 

Locked

Member
Jun 11, 2017
25
75
Cha muhim ni katiba mpya na mikataba ya wazi ambayo kila mtanzania ataweza kusoma na kujua nyeupe ni ipi na nyeusi ni ipi.
Ni hayo tu.
 

Kishazi

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
492
250
Huyo boya wenu si atanunuliwa tu alivyo cheap!
Kwa zaidi ya miaka kumi amekuwa akipigana kwenye maswala ya madini. Amewahi kufukuzwa hadi bungeni akitaka mikataba na sheria za rasilimali zitungwe kwa kuangalia maslahi mapana ya Taifa huku wale wengine wakishangilia kufukuzwa kwake. Sasa ingekuwa ni kununuliwa si angeshanunuliwa siku nyingi tu?

Hebu tuache kukimbizana au kuchotwa na propaganda za kichama, tujaribu kuhamasisha umoja wa kitaifa kwenye haya mambo na kupambana kama wazalendo wamoja. Tumeona uchama ulivyotufikisha hapa as kuna watu walikuwa wanashabikia bila kuelewa just because wa chama chake kaongea au wa chama kingine kaadhibiwa bila kuangalia maslahi mapana ya nchi. Tukifika hapo kama nchi tutafanikiwa kwenye hili.
 

Eric Cartman

JF-Expert Member
May 21, 2009
6,815
2,000
Mtazamo wa na kauli zake unaonyesha sio mtu mwenye uelewa wa mambo ya biashara.

Sio kwa bahati mbaya sakata limeelekea tofauti na matarajio yake ni kwamba hajui contract law.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom