Locked
Member
- Jun 11, 2017
- 26
- 97
- Thread starter
- #21
Anayo web.Hivi mwakasege hana website? Kama hana basi vijana wa IT dili hili hapa changamkeni.
Yesu akamwambia "Lisha Kondoo Zangu" (Yohana 21:17)- MANA TANZANIA
Anayo web.Hivi mwakasege hana website? Kama hana basi vijana wa IT dili hili hapa changamkeni.
AmenUbarikiwe mkuu, mwalimu Mwakasege ana kipawa kikubwa, Mwenyezi Mungu ampe nguvu na maarifa zaidi
Audio za mafundisho yakeAmen
Zinasaidia watu kupata faraja baada ya ugumu wa maisha au mahusiano.Hivi Seminar hizi huwa zinawasaidia kukabili changamoto za maisha au ni njia ya kujifariji
Mwakasege ni mjasiria dini tu ,yeye ndie mnufaika na yupo kazini,hizo ''semina ''zenu hazitawasaidia chochote maishani,endeleeni kumtumia pesa kwa Mpesa/Tigo pesa kupitia akaunti yake na ya mkewe,lakini pia nadhani umefika wakati TRA ianze kukata mapato anayoyapata huyu Mwakasege,badala tu ya kuwaakaanga akina mama ntile hawa wajasiria dini nao wakatwe mapato,kwani wanaingiza mamilioni huu sio wito bali ni kazi halali kama kazi zingine sampuli za wachungaji aina hii hawana tofauti na ma MC wa kwenye sherehe,ambao nao sijui kama wanalipa kodi ,ilihali nao wanaingiza mamilioni ,kama wanampenda Mungu,basi vile wanavyopata pesa kwa kuchangia hizo semina basi nao wachangie hayo mapato TRA,mimi nipo tayari kuchangia mashine ya EFD bana,najua watu watakuja na mipovu tele hapa lakini ukweli unabaki palepale sampuli hizi hazilipi kodi au wanakwepa kulipa kodi,kwa kufanya hivyo wanachuma dhambi kwa kutosema ukweli,dhambi sio uzinzi tu bali kutosema yale yanayotakiwa kuyasema.
Wewe ulieweka Uzi huu hapa umefikiria Mara mbili? Unacho kitafuta ni watu kuanza kumponda Mwakasege..Come to think about it. Am a Muslim but i respect all .Hukutakiwa kuweka Uzi huu hapa jf.Yani ni kama unafanya Dry SnitchingNimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi.
Karibu
Chuki?kwa kitu gani mtu ukiambiwa alipe kodi unadai chuki,ukiambiwa hizo semina hazisaidii chochote bali ni ujasiria dini ni sawa na hizi talk show za akina Dr Mauki,unasema chuki,toka umeanza kuhudhuria hizo semina ni kipi ulichokipata ambacho asiye hudhuria kakikosa ,sote tu wana adamu na Mwakasege ni kama wewe tu au mimi,sio kusema ndio utaenda peponi kwa kufuata hizo semina na yule asie fuata ataenda motoni,na mwisho kumjua au kutomjua huyo mhubiri haisaidii ,TRA ni wakati wa kuwafuatilia watu hawa ,kulipa kodi hakuangalia huyu nani wala yule nani.Mambo ya kusema sijui maneno yangu hayapunguzi wala kuongeza nadhani si kweli ndio maana umekuja hapa kujibu,TRA fanyeni kazi yenu kwa wajasiria dini,wao sio malaika hata kidogo.Umeandika kwa chuki sana. Tatizo nini? Unajipa mzigo wa bure tu... Chuki ni Mzigo Mzito kuubeba. Ungemfaham Mwakasege usingeandika kwa chuki na hasira hivyo...anyway kwa haya maneno yako hayapunguzi au kuathiri yoyote anayoyafanya.
Katika maisha kila mtu ana chaguzi ya lile alipendalo kufanya. So hata wewe umefanya kwa lile ambalo ni sawa kwako kufanya ila mi nakushauri uachane na mzigo wa chuki.utakutesa sana.
hazina tofauti na forever livingHivi Seminar hizi huwa zinawasaidia kukabili changamoto za maisha au ni njia ya kujifariji
Chuki?kwa kitu gani mtu ukiambiwa alipe kodi unadai chuki,ukiambiwa hizo semina hazisaidii chochote bali ni ujasiria dini ni sawa na hizi talk show za akina Dr Mauki,unasema chuki,toka umeanza kuhudhuria hizo semina ni kipi ulichokipata ambacho asiye hudhuria kakikosa ,sote tu wana adamu na Mwakasege ni kama wewe tu au mimi,sio kusema ndio utaenda peponi kwa kufuata hizo semina na yule asie fuata ataenda motoni,na mwisho kumjua au kutomjua huyo mhubiri haisaidii ,TRA ni wakati wa kuwafuatilia watu hawa ,kulipa kodi hakuangalia huyu nani wala yule nani.Mambo ya kusema sijui maneno yangu hayapunguzi wala kuongeza nadhani si kweli ndio maana umekuja hapa kujibu,TRA fanyeni kazi yenu kwa wajasiria dini,wao sio malaika hata kidogo.
Acheni bhana..bora kuwa kimy mkuuhazina tofauti na forever living
Povu kali sanaMwakasege ni mjasiria dini tu ,yeye ndie mnufaika na yupo kazini,hizo ''semina ''zenu hazitawasaidia chochote maishani,endeleeni kumtumia pesa kwa Mpesa/Tigo pesa kupitia akaunti yake na ya mkewe,lakini pia nadhani umefika wakati TRA ianze kukata mapato anayoyapata huyu Mwakasege,badala tu ya kuwaakaanga akina mama ntile hawa wajasiria dini nao wakatwe mapato,kwani wanaingiza mamilioni huu sio wito bali ni kazi halali kama kazi zingine sampuli za wachungaji aina hii hawana tofauti na ma MC wa kwenye sherehe,ambao nao sijui kama wanalipa kodi ,ilihali nao wanaingiza mamilioni ,kama wanampenda Mungu,basi vile wanavyopata pesa kwa kuchangia hizo semina basi nao wachangie hayo mapato TRA,mimi nipo tayari kuchangia mashine ya EFD bana,najua watu watakuja na mipovu tele hapa lakini ukweli unabaki palepale sampuli hizi hazilipi kodi au wanakwepa kulipa kodi,kwa kufanya hivyo wanachuma dhambi kwa kutosema ukweli,dhambi sio uzinzi tu bali kutosema yale yanayotakiwa kuyasema.
ujujaji ukizidi unakua ujingaMwakasege ni mjasiria dini tu ,yeye ndie mnufaika na yupo kazini,hizo ''semina ''zenu hazitawasaidia chochote maishani,endeleeni kumtumia pesa kwa Mpesa/Tigo pesa kupitia akaunti yake na ya mkewe,lakini pia nadhani umefika wakati TRA ianze kukata mapato anayoyapata huyu Mwakasege,badala tu ya kuwaakaanga akina mama ntile hawa wajasiria dini nao wakatwe mapato,kwani wanaingiza mamilioni huu sio wito bali ni kazi halali kama kazi zingine sampuli za wachungaji aina hii hawana tofauti na ma MC wa kwenye sherehe,ambao nao sijui kama wanalipa kodi ,ilihali nao wanaingiza mamilioni ,kama wanampenda Mungu,basi vile wanavyopata pesa kwa kuchangia hizo semina basi nao wachangie hayo mapato TRA,mimi nipo tayari kuchangia mashine ya EFD bana,najua watu watakuja na mipovu tele hapa lakini ukweli unabaki palepale sampuli hizi hazilipi kodi au wanakwepa kulipa kodi,kwa kufanya hivyo wanachuma dhambi kwa kutosema ukweli,dhambi sio uzinzi tu bali kutosema yale yanayotakiwa kuyasema.
Shiriki seminar hizo hata siku moja ndipo utakapojua umuhimu wake kiroho.Hivi Seminar hizi huwa zinawasaidia kukabili changamoto za maisha au ni njia ya kujifariji
Hivi mwakasege hana website? Kama hana basi vijana wa IT dili hili hapa changamkeni.
MwanzaMwezi uliopita alikuwa tanga Kisha week mbili nyuma akaja singida nadhani Sasa hivi atakuwa mikoa ya kusini kusini.sina uhakika Sana nikipata taarifa nitapost naufuatilia huu uzi
Hizo semina hazina tofauti na zile za ujasiriamali wanazofundisha Clouds Fm......Sema Mwakasege anatumia dini ili awatapeli zaidi wajinga kama weweNmepata mengi sana.kupitia semina hizo nmekuwa na moyo ambao hauna chuki wala hasira au wivu kwa wenye maendeleo.zimenisaidia kuchapa kazi zaidi na kuvuna pesa zaidi. Zmenisaidia kupanga mipango mikubwa na kuachana na tabia za roho mbaya kama yako,wivu,husuda na kijicho. Zmenifumbua nisiwachukie wenye nacho ila nijifunze toka kwao.zimenisaidia kufikiria positively na kuachana na imani mbovu mbovu. Zimenisaidia kuwa na Upendo na Amani moyoni. Unajua zamani nilikuwa zaidi ya wewe....yaani unavyofeel wewe sasa mimi nlikuwa mara kumi yake. Nikawa napata shida sana mpaka nakonda moyoni... Yaani kama wewe tu.ila kwa sasa nmenawiri sana... Napendeza nipo focused n.k kiasi kwamba akinambia kuchangia wala sisiti maana nataka awafikie wengine wenye roho mbaya,chafu,yenye chuki,husda,kiburi na upumbavuh....waelimike wapate maisha mazuri duniani na mbinguni.
Utateseka sababu kodi hatolipa...wewe utabaki na roho kukuuma kuwa halipi kodi...utakuwa umebeba mzigo mzito...utabaki unalia lia TRA chukueni kodi. Kila mara... Lakini haitatokea. Na ikitokea watu watasema haina shida tunalipa na hiyo kodi...but kwa utaratibu gani?una charge vipi sadaka kodi?ungehudhuria hata semina moja akili yako ingeanza kucharge ungejitizama na kucheka kuwa...."aiseee kumbe smetme mtu akiwa na chuki anakuwa kama mpumbavuh" ungetikisa kichwa na kuhuzunika sana kuwa hukujua. Hukujua.
hazna umuhimu wowote ni utapeli mtupuShiriki seminar hizo hata siku moja ndipo utakapojua umuhimu wake kiroho.