Recent content by lobikoki loti

  1. lobikoki loti

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Sugu kasoma na kakaa US sijui unauliza vyeti vipi
  2. lobikoki loti

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Hoja dhaifu hadi unadanganya eti Mbowe hajawahi kugombea urais!!!! Akili za lumumba
  3. lobikoki loti

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Kuzaliwa na kufa na kila kitu cha asili...kweli Mungu yupo
  4. lobikoki loti

    Msaada kuhusu hii BVM

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. lobikoki loti

    Fahamu undani wa mnyama simba

    Ndo maana yanga wanamuogopa
  6. lobikoki loti

    Fahamu undani wa mnyama simba

    Duuuh!!! ,ndo maana yangu wanamuogopa
  7. lobikoki loti

    Grading system ya mwaka huu sio haki

    Hapa mkuu umekurupuka matokeo ya 2013 yapo kwenye division
  8. lobikoki loti

    Msaada: Nimekwama katika application za NACTE

    Hapo mkuu nenda link bonyeza forgot password maana username lazima unaijua
  9. lobikoki loti

    Poleni vijana wa form 6 2016, yote maisha.

    Mkuu vyuo vya serikali vipo mfano DIT,MUST,ATC,Tumbi,Igurusi nk
  10. lobikoki loti

    Msaada: Nimekwama katika application za NACTE

    Ingia kwenye email yako ,fungua spam utakuta hapo
  11. lobikoki loti

    Kuhusu waliomba NACTE hawapati mkopo wala msaada wowote serikalini????

    Wakuu kichwa cha habari kinajieleza ,pia kuna taarifa kuwa waliomba awali na kukubali wamesitishwa na kidato cha nne wote wanaanza ngazi ya cheti je kuna ukweli hapo???
  12. lobikoki loti

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Diploma chuo gani ,ni muda gani na gharama zake zikoje mkuu???
  13. lobikoki loti

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Mkuu kijana wangu amesoma PCB amepata 4.19 yaani S zote na F ya chemistry, anaweza kufanya nini kwa sasa???
  14. lobikoki loti

    Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Vipi maadui na rafiki zenu wanaume milambo???
Back
Top Bottom