Poleni vijana wa form 6 2016, yote maisha.

Poleni vijana wa form 6 2016, yote maisha.

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Poleni sana Kwa wale vijana wenye ufaulu wa chini ya point 4.Mmeambiwa hakuna kwenda chuo kikuu mpaka muuwe na hizo point 4, na NACTE wamesema kua vyuo vya diploma vilivyo vingi nafasi zimejaa, vilivyobaki vingi sio vya serikali. Poleni sana maana waliochaguliwa au waliojaza nafasi hizo vyuo vingi vya serikali ni wale walioomba wakati ninyi mnasubiria matokeo. Mwenye mkono mrefu aende private bado nafasi zipo mpaka tar 5/8/2017.

Ikiwezekana msubiri mwakani ili nanyi muwahi kuomba serikalini. Yote maisha tu kuweni wavumilivu.
 
Hapa Kazi tu!! Usicheze na Tanzania ya Maviwanda Hata Siku Moja.
 
Hii serikali mbona inatuchanganya?
 
Mama bibi afya alimpa mtoto cheti cha form akasomea ualimu,mtoto yupo chuo lakini huenda akafyekwa mana ana gpa 2.7,kaka alienda chuo bila ruhusa katumbuliwa mtumishi hewa.imagine katika familia hii nani atamsaidia mwenzie.bp nje nje
 
chezea elimu bure nyie, na mwakan tunaongeza vigezo vya kujiunga cheti na Diplom mutakuwa wengi sana alafu vyuo ni vichache
 
Nauliza hao wenye chini ya points 4 wanaweza kurudia mtihani wa form six kutafuta matokeo mazuri?? Unaweza kuresit mtihan wa kidato cha sita??
 
Poleni sana Kwa wale vijana wenye ufaulu wa chini ya point 4.Mmeambiwa hakuna kwenda chuo kikuu mpaka muuwe na hizo point 4, na NACTE wamesema kua vyuo vya diploma vilivyo vingi nafasi zimejaa, vilivyobaki vingi sio vya serikali. Poleni sana maana waliochaguliwa au waliojaza nafasi hizo vyuo vingi vya serikali ni wale walioomba wakati ninyi mnasubiria matokeo. Mwenye mkono mrefu aende private bado nafasi zipo mpaka tar 5/8/2017.

Ikiwezekana msubiri mwakani ili nanyi muwahi kuomba serikalini. Yote maisha tu kuweni wavumilivu.
Mkuu vyuo vya serikali vipo mfano DIT,MUST,ATC,Tumbi,Igurusi nk
Mama bibi afya alimpa mtoto cheti cha form akasomea ualimu,mtoto yupo chuo lakini huenda akafyekwa mana ana gpa 2.7,kaka alienda chuo bila ruhusa katumbuliwa mtumishi hewa.imagine katika familia hii nani atamsaidia mwenzie.bp nje nje
 
Daaaaa....pointi 4 mnazipata VP,,,,yaan zinakakletiwa VP?
Matokeo yamegrediwa hivi kuna A=5 B=4 C=3 D=2 E=1 izo namba ndio points wanaposema mtu awe na points 4 that means awee na angala D D E hapa anakuwa na points tano ana D mbili na E zinaleta total ya points 4
 
Daaaaa....pointi 4 mnazipata VP,,,,yaan zinakakletiwa VP?
Lakin kigezo walichotumia mwaka huu kina sema awe na principle pass mbili zenye jumla ya points nne kama nilivyotoa mfano wa matokeo ya D D E apo anakuwa na sifa lakini ambaye ana D E E sawa atakuwa na jumla ya point nne kwa maana ya 2 1 1 lakini ukichukua principle pass mbili yaani D E zinaleta jumla ya point 3 na anakuwa amekosa sifa ya kujiunga chuo
 
Kwa wale ambao hawana vigezo, msije mkasubir muujiza .
Kama vp wah nacte mapema kabla hawajafunga
 
BloomsTaxList.png
The_Thinker_Auguste_Rodin.jpg
 
Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six science waliokosa sifa za kujiunga na shahada foundation courses za mwaka 1 pia zipo .Karibuni huduma inatolewa bure
mbn n kam hazpo wasap au n hyo code ya mwanzo inzngua+8613065131363..
 
Back
Top Bottom