Kuhusu waliomba NACTE hawapati mkopo wala msaada wowote serikalini????

Kuhusu waliomba NACTE hawapati mkopo wala msaada wowote serikalini????

lobikoki loti

Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
69
Reaction score
27
Wakuu kichwa cha habari kinajieleza ,pia kuna taarifa kuwa waliomba awali na kukubali wamesitishwa na kidato cha nne wote wanaanza ngazi ya cheti je kuna ukweli hapo???
 
Kwani kuna aliyekuwa anamaliza kidato cha nne na kuchukua diploma moja kwa moja. .??
 
Utaratibu ni wote walimaliza kidato cha nne kuanza na cheti. NTA LEVEL 4.
 
Ndio hupati chochote!!!! Watu wanamaliza mwaka sahizi wanajitegemea kwa kilaa kitu katika diploma ispokuwa ile ya Udom tuuuu so hakuna utaratibu mpyaaa ni unajitegemea each and everything
 
Utaratibu ni wote walimaliza kidato cha nne kuanza na cheti. NTA LEVEL 4.
Una maana wakimaliza NTA LEVEL 4 wanapewa vyeti then wanaendelea 5 wanapewa vyeti ndipo wanamaliza,
Nipe majina ya hivyo vyeti tafadhali.
 
Una maana wakimaliza NTA LEVEL 4 wanapewa vyeti then wanaendelea 5 wanapewa vyeti ndipo wanamaliza,
Nipe majina ya hivyo vyeti tafadhali.
Diploma ni semister sita(kwa engineering cjui uko kwingine),ukianza unaanza na basic certificate,mwaka wa pili ni technician certfucate na mwaka wa tatu ni diploma,hizo certificate zote huwa ni sehemu ya diplolma,ndio maana unasoma af mwishoni unachukua diploma na sio certificate
 
Back
Top Bottom