Someni mchango huu kuhusu BVM kwa tahadhari sana. Ni program ambayo inataka ujiongeze (kwa lugha ya sasa hivi) na inahitaji masaa mengi zaidi ya kujisomea ukilinganisha na program nyingi za SUA. Ku-disco kupo asikudanganye mtu. Lakini ukiwa serious inawezekana. BVM wana probation tu na hakuna ku-carry forward kwa ujumla. Kila mwaka lazima ufaulu core courses ukianguka unaweza kuruhusiwa ku-retake (yaani huendi mbele bali utarudia lile somo na kulifanyia mtihani semester ambayo litafundishwa tena). Hapa ni mwaka mzima umesimama. Utakapofaulu ndio unakwenda mbele mwaka unaofuatia na utakuwa nyuma ya wenzako uliokuwa nao wakafaulu (first sitting au probation) kwa mwaka mmoja. Nia yangu si kutisha watu lakini afadhali ujue kile unachotarajia kukifanya kuliko kuambiwa kuwa BVM ni mteremko-ukweli ni mlima lakini watu hupanda na kufanikiwa.BVM ndio kozi rahisi rahisi kuliko kozi zote pale sua. Tatizo lake ni muda tu wa kozi ambao ni mrefu.miaka mitano.
Ikifuatiwa na Bsc Agriculture general, Bsc Agric Engeneer, Biotechnology ,nutrition, informatics
Hizi ndio kozi rahisi sana kupita maelezo na zina future nzuri sana.
Ni very rare kusikia mtu wa kozi hizi ka-disco . Mara nyingi wanaishia ku-carry tu.
Ukilinganisha na kozi ngumu sana ambazo ni pamoja na Bachelor of Rural Dev, BTM, Extension, informatics, agribusiness, wildlife
Eeh waa..lakini watu hupanda na kufanikiwa.

Someni mchango huu kuhusu BVM kwa tahadhari sana. Ni program ambayo inataka ujiongeze (kwa lugha ya sasa hivi) na inahitaji masaa mengi zaidi ya kujisomea ukilinganisha na program nyingi za SUA. Ku-disco kupo asikudanganye mtu. Lakini ukiwa serious inawezekana. BVM wana probation tu na hakuna ku-carry forward kwa ujumla. Kila mwaka lazima ufaulu core courses ukianguka unaweza kuruhusiwa ku-retake (yaani huendi mbele bali utarudia lile somo na kulifanyia mtihani semester ambayo litafundishwa tena). Hapa ni mwaka mzima umesimama. Utakapofaulu ndio unakwenda mbele mwaka unaofuatia na utakuwa nyuma ya wenzako uliokuwa nao wakafaulu (first sitting au probation) kwa mwaka mmoja. Nia yangu si kutisha watu lakini afadhali ujue kile unachotarajia kukifanya kuliko kuambiwa kuwa BVM ni mteremko-ukweli ni mlima lakini watu hupanda na kufanikiwa.
Ze duduz uliweza kutoboa,dah nakumbuka ulikuwa inatushushia list za majina kabla ya TCUKaribu naingia mwaka 5 sasa utatukuta kaka zako
Yap mkuu nimeweza kutusua ila cha moto nimekiona ... Hope na wewe umemaliza salama mkuuZe duduz uliweza kutoboa,dah nakumbuka ulikuwa inatushushia list za majina kabla ya TCU
Clear explanation!!!!!Bachelor of Veterinary Medicine ni program ya miaka 5 inayotolewa SUA (prospective College of Veterinary and Medical Sciences) SUA. Ajira ziko za kueleweka na hata ukitaka kujiajiri inawezekana bora uwe na mtaji. Kama program nyingine yeyote unatakiwa uwe serious na masomo yako. Ukilinganisha na program nyingine uwe tayari kufanya kazi (darasani na practicals) kwa muda mrefu-free periods ni chache. Walimu wake wako serious to very serious-ni ngumu kiasi lakini inawezekana.Unaanza na Biomedical sciences, halafu paraclinical sciences na mwisho clinical courses and Public health. Mwaka wa mwisho unafanya special project (utafiti) na semester ya mwisho ni field attachment. Kila mwaka kuna field practicals.




Prospectus inasaidia lakini haikuambii kila kitu. Of course kuna swaga za vijana-lakini pia kuna ushauri ambao uko balanced. Ukisoma kwa umakini michango utapata ujumbe. Na pia sio wachangiaji wote ni wananfunzi ingawa michango ya wanafunzi ni muhimu kwani inakueleza kile kinachowakabiri.sasa ni kozi gani chuo ni rahisi watu wengine bwana kozi yoyote ni ngumu na kila kozi watu wana disco urahisi au ugumu ni wewe mwenyewe ushauri wa hapa jamii forum hauwezi kukusaidia kitu ingia website ya sokoine university download prospectus angalia contents za kozi unayotaka kusoma ili uelewe unaenda kusoma nini kuliko kutegemea ushauri wa mtu kisa yeye ansoma hicho wanafunzi wa miaka hii wazembe sana kila kitu kinapatikana kwenye internet inasikitisha sana mtu anaenda chuo anategemea ushauri wa mtu eti hii kozi ikoje rahisi, ngumu halafu unajiita scientist.
Kichwa cha kisharobaro kikoje
VETERAN by definition;-
A person with long experience of a particular activity.
OR
A person who has served in the armed forces, especially an old soldier who has seen long service.
Sasa wewe unataka kusoma digrii yake.







Msisitizo tu.Someni mchango huu kuhusu BVM kwa tahadhari sana. Ni program ambayo inataka ujiongeze (kwa lugha ya sasa hivi) na inahitaji masaa mengi zaidi ya kujisomea ukilinganisha na program nyingi za SUA. Ku-disco kupo asikudanganye mtu. Lakini ukiwa serious inawezekana. BVM wana probation tu na hakuna ku-carry forward kwa ujumla. Kila mwaka lazima ufaulu core courses ukianguka unaweza kuruhusiwa ku-retake (yaani huendi mbele bali utarudia lile somo na kulifanyia mtihani semester ambayo litafundishwa tena). Hapa ni mwaka mzima umesimama. Utakapofaulu ndio unakwenda mbele mwaka unaofuatia na utakuwa nyuma ya wenzako uliokuwa nao wakafaulu (first sitting au probation) kwa mwaka mmoja. Nia yangu si kutisha watu lakini afadhali ujue kile unachotarajia kukifanya kuliko kuambiwa kuwa BVM ni mteremko-ukweli ni mlima lakini watu hupanda na kufanikiwa.
Neurosurgeonsasa ni kozi gani chuo ni rahisi watu wengine bwana kozi yoyote ni ngumu na kila kozi watu wana disco urahisi au ugumu ni wewe mwenyewe ushauri wa hapa jamii forum hauwezi kukusaidia kitu ingia website ya sokoine university download prospectus angalia contents za kozi unayotaka kusoma ili uelewe unaenda kusoma nini kuliko kutegemea ushauri wa mtu kisa yeye ansoma hicho wanafunzi wa miaka hii wazembe sana kila kitu kinapatikana kwenye internet inasikitisha sana mtu anaenda chuo anategemea ushauri wa mtu eti hii kozi ikoje rahisi, ngumu halafu unajiita scientist.
Kwenyw Prospectus hupati kila kitu.sasa ni kozi gani chuo ni rahisi watu wengine bwana kozi yoyote ni ngumu na kila kozi watu wana disco urahisi au ugumu ni wewe mwenyewe ushauri wa hapa jamii forum hauwezi kukusaidia kitu ingia website ya sokoine university download prospectus angalia contents za kozi unayotaka kusoma ili uelewe unaenda kusoma nini kuliko kutegemea ushauri wa mtu kisa yeye ansoma hicho wanafunzi wa miaka hii wazembe sana kila kitu kinapatikana kwenye internet inasikitisha sana mtu anaenda chuo anategemea ushauri wa mtu eti hii kozi ikoje rahisi, ngumu halafu unajiita scientist.
BVM ndio kozi rahisi rahisi kuliko kozi zote pale sua. Tatizo lake ni muda tu wa kozi ambao ni mrefu.miaka mitano.
Ikifuatiwa na Bsc Agriculture general, Bsc Agric Engeneer, Biotechnology ,nutrition, informatics
Hizi ndio kozi rahisi sana kupita maelezo na zina future nzuri sana.
Ni very rare kusikia mtu wa kozi hizi ka-disco . Mara nyingi wanaishia ku-carry tu.
Ukilinganisha na kozi ngumu sana ambazo ni pamoja na Bachelor of Rural Dev, BTM, Extension, informatics, agribusiness, wildlife
Mkuu nadhaniii tupo class 1 .... Yaanii originalll nadhaniii tumebaki 45 maaNa hao wengine tumewakuta njianiiiMsisitizo tu.
Sie tuliaanza 105
Nasasa tupo 53.jiulize hapo wengine wameeenda wapi.kudisco,Ku retake ,kuacha mwenyewe tu kwa Ku salenda vyote vina wezekana kama hukuchukua tahadhari
Sikudhania kuwa hali ni mbaya kiasi hiki!!!!!!!! Mtafanikiwa tu.Mkuu nadhaniii tupo class 1 .... Yaanii originalll nadhaniii tumebaki 45 maaNa hao wengine tumewakuta njianiii
Kaka ugumu wake unaweza kuwa kama advance ukisoma PCB/pcm au huko pagumu zaidiSomeni mchango huu kuhusu BVM kwa tahadhari sana. Ni program ambayo inataka ujiongeze (kwa lugha ya sasa hivi) na inahitaji masaa mengi zaidi ya kujisomea ukilinganisha na program nyingi za SUA. Ku-disco kupo asikudanganye mtu. Lakini ukiwa serious inawezekana. BVM wana probation tu na hakuna ku-carry forward kwa ujumla. Kila mwaka lazima ufaulu core courses ukianguka unaweza kuruhusiwa ku-retake (yaani huendi mbele bali utarudia lile somo na kulifanyia mtihani semester ambayo litafundishwa tena). Hapa ni mwaka mzima umesimama. Utakapofaulu ndio unakwenda mbele mwaka unaofuatia na utakuwa nyuma ya wenzako uliokuwa nao wakafaulu (first sitting au probation) kwa mwaka mmoja. Nia yangu si kutisha watu lakini afadhali ujue kile unachotarajia kukifanya kuliko kuambiwa kuwa BVM ni mteremko-ukweli ni mlima lakini watu hupanda na kufanikiwa.